Kuna siku nikiwa nikiwa mdogo nilikuwa namsifia mzee mmoja ni tajiri lakini yupo simple, mavazi yake huwezi kumdhania ni tajiri.
Nikaambiwa huyo anafuata masharti maalum ya kuoga, haruhusiwi kuoga oga akikiuka pesa zote zinapotea
Swali la kizushi kwenu
Tuchukulie ingekuwa kweli kama kungekuwa na utajiri wa hayo masharti, je ungeweza ?