ndio maana nimeweka jukwaa la chit chat, humu ni kama kijiwe flani hivi cha kupiga story, matani na porojousiamini ushirikina unaweza kukupa utajiri anaepata utajiri hapo ni huyo anaekuambia ufuate hayo masharti...
Daah hili ni funzo tosha 😂😂Mbona sharti la kitoto sana hilo na amini kwamba kama wangekua wanaonekana waganga kama hao,mitaa ingejaa mabilionea wachafu...
Huku NONDE SUA kuna jamaa ni tajiri lakini anafirwa na joka kila mwisho wa mwezi,huwa anapigwa mshipi mpaka anazimia....
kuna siku aliligomea kwenda likamfata mpaka kijiweni hapohapo likamwingilia na kipigo juu....wew unaongelea kuoga!!!!!
Nimecheka kwa nguvuMbona sharti la kitoto sana hilo na amini kwamba kama wangekua wanaonekana waganga kama hao,mitaa ingejaa mabilionea wachafu...
Huku NONDE SUA kuna jamaa ni tajiri lakini anafirwa na joka kila mwisho wa mwezi,huwa anapigwa mshipi mpaka anazimia....
kuna siku aliligomea kwenda likamfata mpaka kijiweni hapohapo likamwingilia na kipigo juu....wew unaongelea kuoga!!!!!
BICHWA KOMWE - anaomba connection ya huyo mgangaMbona sharti la kitoto sana hilo na amini kwamba kama wangekua wanaonekana waganga kama hao,mitaa ingejaa mabilionea wachafu...
Huku NONDE SUA kuna jamaa ni tajiri lakini anafirwa na joka kila mwisho wa mwezi,huwa anapigwa mshipi mpaka anazimia....
kuna siku aliligomea kwenda likamfata mpaka kijiweni hapohapo likamwingilia na kipigo juu....wew unaongelea kuoga!!!!!
Ila MAWEED 🙌Mbona sharti la kitoto sana hilo na amini kwamba kama wangekua wanaonekana waganga kama hao,mitaa ingejaa mabilionea wachafu...
Huku NONDE SUA kuna jamaa ni tajiri lakini anafirwa na joka kila mwisho wa mwezi,huwa anapigwa mshipi mpaka anazimia....
kuna siku aliligomea kwenda likamfata mpaka kijiweni hapohapo likamwingilia na kipigo juu....wew unaongelea kuoga!!!!!
Sure mkuu ni kuacha tamaa hela ya moto inakazi sana,huku NONDE-SUA kila mtu ni tajiri ila wanajuta sana
Mganga wa kifiro au mganga wa kuoga mara 1 kwa mwezi..BICHWA KOMWE - anaomba connection ya huyo mganga
Apewe joka la kumpelekea motoMganga wa kifiro au mganga wa kuoga mara 1 kwa mwezi..
Stori za vijiwe vya pombe za magadiKuna mmoja sharti lake ni kula chakula na kunywa maji choo cha public kama Bar au Stendi.
Wewe ungeweza?