Unaweza kula chakula alichobakiza mwajiri wako mezani?

Unaweza kula chakula alichobakiza mwajiri wako mezani?

Sasa hivi ukute matoyo yake yanalula bata na nyumba ua urithi
 
Nahisi kinachobaki si kilichokuwa katika sahani iliyotumiwa na bosi, bali wanapojipakulia kiasi wanachotaka, kuna vinavyobaki kwenye mabakuli yaliyotoka jikoni.
 
Mimi nimekula sana mabaki yaliyobaki toka kwa mteja enzi hizo nilipokuwa nafanya kazi hotelini.
Kwa sasa nimekuwa najitegemea!!!
 
Back
Top Bottom