Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Nimesikitika sana kumbe utanipiga kiasi hiki😁😁
 
Yote mabonge halafu meupe peeeh.!!
Ukilikuta jeusi basi halina maokoto πŸ˜‚πŸ˜‚
Hili lakwangu lina mihela , Tatizo linanipa wasiwasi ni jeusi , Jembamba halafu lina confidence hatarii πŸ˜€πŸ˜€
 
Imeandikwa Kila nafsi itaonja umauti. Mambo yasiwe mengi tukutane siku ya kiama.
 
Unamaanisha figo ile organ inayokaa ndani ya mwili ambapo kuiona tu ni mpaka wakupasue?

Au una maanisha Figo yule winga wa zamani aliyecheza Madrid na Barcelona?

Tuelewane kabiaa hapo..
...atakuwa ni lous Figo tu nadhani
 
Mke, naweza. Mpenzi NO
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…