Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimesikitika sana kumbe utanipiga kiasi hiki😁😁Kwanini baba ake mzazi asimpe hiyo FIGO?
Mwili wangu ni mtukufu, siwezi kuchomoa figo langu nilibandike kwa kipusa ambaye tumekutana tu bar nikamtandika hogo akaanza kujiita MAMA KOMWE!
Siku atakayoniomba figo ntamcharaza kweli kweli ntampa kichapo cha GOVINDA au VAN DEO, namsawazisha meno yote ya mbele. EBOO!! FAMCHEZO!
Cc: Lamomy Extrovert Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Maghayo
Yote mabonge halafu meupe peeeh.!!Hivi kuna Mshangazi mwembamba kweli au Nimeyatimba 😄😄
Hili lakwangu lina mihela , Tatizo linanipa wasiwasi ni jeusi , Jembamba halafu lina confidence hatarii 😀😀Yote mabonge halafu meupe peeeh.!!
Ukilikuta jeusi basi halina maokoto 😂😂
Hapo kimbia mkuu utanyonywa damu 😂😂Hili lakwangu lina mihela , Tatizo linanipa wasiwasi ni jeusi , Jembamba halafu lina confidence hatarii 😀😀
Kila likiomba mzigo naruka ruka 😀😀Hapo kimbia mkuu utanyonywa damu 😂😂
Kila likitaka Show naumwa ghafla ila halikomi 😀😀Hapo kimbia mkuu utanyonywa damu 😂😂
Ikitokea issue kama hii unachonga na dkt, apime aseme hazimatch. Ili mchuchu, Asijue kua ile kauli ya kifo kitutanganishe ndo wakati wake huuSi mpaka zi match, za kwetu najua haziwezi ku match.
...atakuwa ni lous Figo tu nadhaniUnamaanisha figo ile organ inayokaa ndani ya mwili ambapo kuiona tu ni mpaka wakupasue?
Au una maanisha Figo yule winga wa zamani aliyecheza Madrid na Barcelona?
Tuelewane kabiaa hapo..
Mke, naweza. Mpenzi NONi kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?
Zingatia: Hii haihusiani ndugu.