Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Kwanini baba ake mzazi asimpe hiyo FIGO?

Mwili wangu ni mtukufu, siwezi kuchomoa figo langu nilibandike kwa kipusa ambaye tumekutana tu bar nikamtandika hogo akaanza kujiita MAMA KOMWE!

Siku atakayoniomba figo ntamcharaza kweli kweli ntampa kichapo cha GOVINDA au VAN DEO, namsawazisha meno yote ya mbele. EBOO!! FAMCHEZO!

Cc: Lamomy Extrovert Poor Brain Yohimbe bark dronedrake Maghayo
Nimesikitika sana kumbe utanipiga kiasi hiki😁😁
 
Yote mabonge halafu meupe peeeh.!!
Ukilikuta jeusi basi halina maokoto 😂😂
Hili lakwangu lina mihela , Tatizo linanipa wasiwasi ni jeusi , Jembamba halafu lina confidence hatarii 😀😀
 
Imeandikwa Kila nafsi itaonja umauti. Mambo yasiwe mengi tukutane siku ya kiama.
 
Unamaanisha figo ile organ inayokaa ndani ya mwili ambapo kuiona tu ni mpaka wakupasue?

Au una maanisha Figo yule winga wa zamani aliyecheza Madrid na Barcelona?

Tuelewane kabiaa hapo..
...atakuwa ni lous Figo tu nadhani
 
Ni kawaida katika Mahusiano kupeana ahadi nzuri sana, Mnapendana kuliko kawaida na kufanyiana mengi mazuri.
Ingawa katika Mahusiano kuna Changamoto kubwa na ndogo.
Changamoto nyingine zinaweza kutatulika nyingine zikashindwa kutatulika.
Lakini mwisho wa Siku Maisha lazima yaendelee.
Sasa Je unaweza kumtolea Figo Kipenzi chako?

Zingatia: Hii haihusiani ndugu.
Mke, naweza. Mpenzi NO
 
Back
Top Bottom