Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Na ndo wasahau na Mkasi sasa au kiwembeπŸ˜…πŸ˜…
 
Alafu wakuu kuna ishu nilisoma kuwa katika wanyama ambao wanaweza donate viungo kwa binadamu na ku match ni ngurue...

Hi nikawaza sana aiseee kwa ndugu zangu hapa kina rashidi...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…