Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
Okay 00:05:02....Hatari sana .. Set time ya kuchange figo ya realMamy 😄😄
Ndani ya muda huu nitakua tayari nisha toa kila kitu hapo na kushona kabisa....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay 00:05:02....Hatari sana .. Set time ya kuchange figo ya realMamy 😄😄
Mkuu kutow figo kuskie tuu sio jambo la kitoto...Watu waoga
😂😂 Lazma uogope, Mwamba anatishaWeeee 😅😅 naogopa
😂😂😂😂Okay 00:05:02....
Ndani ya muda huu nitakua tayari nisha toa kila kitu hapo na kushona kabisa....
Na ndo wasahau na Mkasi sasa au kiwembe😅😅Mkuu kutow figo kuskie tuu sio jambo la kitoto...
Mda wanatoa unakua upo kwenye general anesthesia uwezi jua je wakitoa na bandama.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mnashangaa jamaa mbona acheki kumbe washanyofoa
😂😂😂😂 Mkasi unakata utumbo...Na ndo wasahau na Mkasi sasa au kiwembe😅😅
Kulewa kidogo muhimu ili kuongeza 'vibe'Itakuwa nzima kweli au ndo na mimi ntaanza kulewa
Mpaka hapo umeshakosa mpenziHAPANA.
Wala sijali sababu si lazima.Mpaka hapo umeshakosa mpenzi
Bora umekua mkweli. Ujitie matatizoni kisa mtu afu kesho aanze kuleta mapicha picha kwani nani anataka hizo mambo.Siwezi
Na mtu anaye fanya hivo tumpime akili pia 😂😂😂😂Bora umekua mkweli. Ujitie matatizoni kisa mtu afu kesho aanze kuleta mapicha picha kwani nani anataka hizo mambo.