Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Mkuu kutow figo kuskie tuu sio jambo la kitoto...
Mda wanatoa unakua upo kwenye general anesthesia uwezi jua je wakitoa na bandama.😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mnashangaa jamaa mbona acheki kumbe washanyofoa
Na ndo wasahau na Mkasi sasa au kiwembe😅😅
 
Alafu wakuu kuna ishu nilisoma kuwa katika wanyama ambao wanaweza donate viungo kwa binadamu na ku match ni ngurue...

Hi nikawaza sana aiseee kwa ndugu zangu hapa kina rashidi...😂😂😂🙌🙌🙌🙌
 
Back
Top Bottom