Unaweza kumtolea Figo Mpenzi wako, Mke au Mume wako?

Nimemuangalia huyu Baba hapa pembeni nikawaza aumwe then nisimtolee? hapana nitamtolea tu akija kunisaliti basi ila sitoweza kumuacha afe kwa kitu ninachoweza msaidia! maumivu ya kumuona anakufa yatakua ni makubwa zaidi ya usaliti wake.
 
Sometimes unachangia mada kama Ke mara nyingine kama meπŸ™Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…