Technophilic Pool
JF-Expert Member
- Jan 18, 2024
- 3,104
- 4,574
Changamoto iko hapaMh! mfano imetokea kaboronga unamfokeaje kwa mfano!...π
Huyo rafiki anaeshindwa kurejesha elfu 5 si wa kuajiri..ukishindw kuwa muaminifu Kwa kidogo itakuwaje ukipewa kikubwaNimemuazima elf Tano tu kasema jtano anarudisha Sasa ni miez sembuse kumuweka kwenye kazi si nitalia kilio mbweha
Mimi siwezi ,labda awe partner .Sheria moja kubwa ya Kaz n kutochanganya mapenzi kwene kazi au kutoruhusu mahusiano ya kimapenzi kazini (Inamaana kubwa hasa kama unafikiri kwa kutumia kichwa cha juu)
Je vip kuhusu kumuajiri rafiki yako kwene kampuni au ofisi yako?
kwenye kulifukuza sasa siku likiboronga...πNdiyo ninaweza, na hata yeye anaweza pia kuniajiri mie.
changamoto ya kwanzaMh! mfano imetokea kaboronga unamfokeaje kwa mfano!...π
aisee naona jamaa ana magumu ila najua kwene hela tutasumbuanaKwa manufaa ya urafiki wenu hutakiwi kumuajiri badala yake mpush ili afanye kazi yake mwenyewe
Ni changamoto af anakua anaona kama unamzinguaMimi siwezi ,labda awe partner .
Mimi niwe bosi yeye staff? hio lazima mtakwazana, utawezaje muwajibisha?.
kama ni hivo labda nimpe business unit kabisa asimamie
Niajiri mm, mana Mm sio rafiki yako πKikubwa uaminifu! ila siwezi kuwaajiri wana tamaa kinoma
yaan kama ww ukizingua unakula makofiNiajiri mm, mana Mm sio rafiki yako π
soma elewaNgono tena