Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

Unaweza kumuajiri rafiki yako kwenye kazi yako?

Kwanza naona mnachanganya rafiki na mtu wa karibu.
Rafiki yako ni sahihi kumuajiri kwasababu kama rafiki atafanya kila awezalo ili asikuangushe.
Rafiki yako anaweza akasimama kwenye nafasi yako ili kutunza urafiki wenu.
 
Aaah wapiii! Haiwezekani. 😂😂😂😂
ipo mimtu michizi shauli yako!, linaanbatana na member wa familia yenu mpk wewe ndo unaanza kujiona sio mwana ukoo yeye ndo mwana ukoo wewe umevamia ukapata ajira halafu unataka kumfukuza...🤣
 
ipo mimtu michizi shauli yako!, linaanbatana na member wa familia yenu mpk wewe ndo unaanza kujiona sio mwana ukoo yeye ndo mwana ukoo wewe umevamia ukapata ajira halafu unataka kumfukuza...🤣
Labda sio mie huyu, 😂😂😂😂
 
Maslahi ya utu siku hizi hakuna , imebaki maslahi ya pesa , bora urafiki /upendo ufe lakini mkate usiingie mchanga
 
Ina ugumu ila kama una nafasi unamuajiri rafiki vinginevyo maana ya urafiki haipo. Kama una nafasi mpe huyo rafiki yako kama haiwezekani kwa sababu za wahenga humu vunja huo urafik.
 
aisee naona jamaa ana magumu ila najua kwene hela tutasumbuana
Mpe ajira na weka wasi kuwa akiharibu atawajibika usiogope kumwambia msimamo wako mapema. Na akifanya kosa linalostahili uwajibikaji piga rungu bika kuangalia usoni. Urafiki na undugu ni nje ya ofisi.

Kila jambo lina risk zake na watu wengi huwa hatusemi risk za kuajiri mtu baki asiye rafiki au ndugu. Yeyote unayeona inafaa kumpa msaada mpe hasa wa karibu yako.
 
Back
Top Bottom