Japkas
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 4,074
- 6,617
Good point. Sijui wanataka rafiki aajiriwe na nani endapo wao wana uwezo huo? Hata akienda kuomba ajira upande mwingine swali linakuwa inamaana rafiki yako ameshindwa kukupa ajira? Una shida gani? Si sawaKwanza naona mnachanganya rafiki na mtu wa karibu.
Rafiki yako ni sahihi kumuajiri kwasababu kama rafiki atafanya kila awezalo ili asikuangushe.
Rafiki yako anaweza akasimama kwenye nafasi yako ili kutunza urafiki wenu.