Good point. Sijui wanataka rafiki aajiriwe na nani endapo wao wana uwezo huo? Hata akienda kuomba ajira upande mwingine swali linakuwa inamaana rafiki yako ameshindwa kukupa ajira? Una shida gani? Si sawaKwanza naona mnachanganya rafiki na mtu wa karibu.
Rafiki yako ni sahihi kumuajiri kwasababu kama rafiki atafanya kila awezalo ili asikuangushe.
Rafiki yako anaweza akasimama kwenye nafasi yako ili kutunza urafiki wenu.
Rafiki nitamuajiri ila mtu wa karibu sitamuajiri labda nimpe hisa.
Inategemea na ukubwa wa kampuni kama ni kampuni kubwa nitawapa ndugu zangu free. Ila kama kampuni bado inajitafuta nitawauzia hisa.Unampa hisa kwa mfumo gani? Kwa mauzo au anazipata free kati ya zile ulizano?
Wanajitafuta wanapata wapi pesa ya kununua hisa?Inategemea na ukubwa wa kampuni kama ni kampuni kubwa nitawapa ndugu zangu free. Ila kama kampuni bado inajitafuta nitawauzia hisa.
Kumbuka hata kampuni yangu nayo bado inajitafuta.Wanajitafuta wanapata wapi pesa ya kununua hisa?
Hakika kabisaa, ππGood girl! Hii ndio maana ya urafiki
Naogopa na kutetemeka na Wala siji kuwaza ujinga huo wa kua naye ofisi mojaHuyo rafiki anaeshindwa kurejesha elfu 5 si wa kuajiri..ukishindw kuwa muaminifu Kwa kidogo itakuwaje ukipewa kikubwa
Hivi umewahi ona movie ya Woman of Principle? Kacheza Ray na Nargis, bas zile characters za Nargis, ndo mie sasa.basi we ni kachawi we unaweza hata mfukuzo mumeo kazini...
Mh! mi siangalii bongo movieHivi umewahi ona movie ya Woman of Principle? Kacheza Ray na Nargis, bas zile characters za Nargis, ndo mie sasa.
πππ
Aya Sawa.Mh! mi siangalii bongo movie
Unapomuweka mtu kazini kwako azingatie Yafuatayoukilegezaje
yaan kuna vimama vimenyookabasi we ni kachawi we unaweza hata mfukuzo mumeo kazini...