Unaweza kumuoa mwanamke anayefanya kazi bar akatulia?

Demu wa bar? Big no.. Wote wanauza, hata akikaza ni kwamba unakuwa hujafikia tu dau analotaka!
 
Hata kwa dawa sioi


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mwanamke YEYOTE ambaye amekuwa na mahusiano na wanaume mbalimbali hafai kuwa mke, period!! Ogopa kama ukoma mwanamke mwenye maujuzi mbalimbali ya ngono, utajuta.

Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Ni kama wanaume tu
Basi tu wanawake wanakua judged differently
 
Yataka moyo ila nishashuhudia madereva wa malori watatu wameoa baamedi na wote wana mishepu,sijui sasa hivi ndoa zao zina endeleaje.
 
Malaya ni Malaya tu,ni kama kusema wasichana wote wanaosali sana na kwenda kanisani wote ni walokole wakati wengine ni malaya kushinda baamedi.
 
Ndio na hapana .
Kwanini mke ni yule ambaye hajazoea umalaya.
Bali anajieshimu,kujitambua.
 
Wapo ambao wakiolewa hutulia, na kufanya bar sio wote ni malaya bro wapo wafanyakazi wa bar lakini wana staha zao bro.
 
Umeshakutana nao wangapi hata useme hayo! Hayo uliyosema yatakuwa yanamhusu huyo uliye nae na wachache uliokutana nao! Lakini haimaabishi ndio ilivyo kwa huyu anayeongelewa hapa maana jamaaa anaonekana kukolea kabisa kwa penzi anaslopata kwa huyo bar maid na sasa anawaza kutaka kuchukua hati miliki!
 
Yeaaaah wanatuliaaaa mbona tena sanaa muhimu tu upate anaejitambuaa..wew kama umependa barmaid oa tu mapenzi ni hisia,kila la kheri mkuu
 
Inategemea na akili ya mtu ila wengi hubadilika na kuwa wazuri wa tabia usiogope sikilizia moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…