Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama wanaume tuMwanamke YEYOTE ambaye amekuwa na mahusiano na wanaume mbalimbali hafai kuwa mke, period!! Ogopa kama ukoma mwanamke mwenye maujuzi mbalimbali ya ngono, utajuta.
Sent from my SM-A720F using Tapatalk
Anataka ajaribu hapa anatafuta maconfidence tu [emoji3][emoji3]
😂 😂 😂 😂 😂 😂Never, yaan papuchi itakuwa imetanuka hatari
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
Ndio na hapana .Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?
Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?
2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?
3.Ulevi je?
Mkuu una maswali magumu nimecheka kisenge khaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wapo ambao wakiolewa hutulia, na kufanya bar sio wote ni malaya bro wapo wafanyakazi wa bar lakini wana staha zao bro.Mwanamke akifanya kazi bar anaweza kuwa mwaminifu? Unaweza kumuoa akawa mke mwema?
Vipi kuhusu yafuatayo
1.Kuendelea na tabia ya kuona kwamba ni jambo la kawaida kutoa penzi akapewa hela?
2.Kuwachukulia watu wote bila staha na akawaona kama wale walevi wa bar alokuwa anawahudumia?
3.Ulevi je?
Umeshakutana nao wangapi hata useme hayo! Hayo uliyosema yatakuwa yanamhusu huyo uliye nae na wachache uliokutana nao! Lakini haimaabishi ndio ilivyo kwa huyu anayeongelewa hapa maana jamaaa anaonekana kukolea kabisa kwa penzi anaslopata kwa huyo bar maid na sasa anawaza kutaka kuchukua hati miliki!Amini usiamini hakuna mwanamke ambaye huwa anatulia akiamua kuolewa kama malaya. Sababu hakuna ambalo hajawahifanyiwa. Shida yao huwa hawako romantic halafu kumwandaa inachukua muda sana. Pia ni wakavu hawana majimaji kwa maana ingine sio watam
Sent using Jamii Forums mobile app