Unaweza kumuoa mwanamke anayefanya kazi bar akatulia?

BIG NO... WAFANYAKAZI WOTE WA BAR NI MALAYA hilo halina ubishi sababu nimewahi kumiliki bar naelewa kila kitu.. Hakuna binti mlokole bar jichanganye uone
 
Hapo unaenda kuoa Ngono Kante
 
Wapo wanaoweza kutulia japo wachache sana.wale pia ni Binadamu kama tulivyo wanaund.kuna wakati ukinywa pombe unajuta sana na kuahidi hutarudia hata wao pia huwa na dhamili unayowasuta lakini lazima awe amepitia magumu kweli eg kuliwa tigo,kupigwa nawateja kuzulumiwa nk.
Cha msingi mdadisi ili uone mwelekeo wake
 
K

Kama umeshakolea kwa bar maid we weka ndani tu! Funika akili, fungua moyo! Ukweli utaupata baada ya kufanya practical, utakayoambiwa hapa ni ya kusadikika, kudhaniadhania tu...hayatakuwa na ukweli maana ukweli upo kwa huyo huyo!
upo sahihi sana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…