Big Nyota
JF-Expert Member
- Apr 2, 2018
- 378
- 575
BIG NO... WAFANYAKAZI WOTE WA BAR NI MALAYA hilo halina ubishi sababu nimewahi kumiliki bar naelewa kila kitu.. Hakuna binti mlokole bar jichanganye uoneKwani wanaofanya kazi wote bar ni malaya?? Mule si kuna wanaume pia kwani wale hawana wake zao nyumbani? Wakati mwingine umalaya nimtabia ya mtu, mbona wapo wenye kazi nzuri na ndoa zao lakini ni wazinzi wakubwa? Si wote wanaofanya kazi bar ni malaya.
Sent using Jamii Forums mobile app