Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasikii kabisa au Huwa angalau anasikia Kwa kawaida au mfano Kuna wengine unaweza ishi nao mda mrefu tu na usijue kama wako na shida ya usikivu , je yupo kundi Gani apoKuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa).
Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
Una changamoto gani mkuu?Me nilishajiambiaga Bora uhai Ndugu yangu,nikibahatika sawa nikikosa pia sawa..[emoji1666]
Nimempa ushauri Kama wako, ila jamaa ameshakata tamaa.Mwambie asifocus katika udhaifu wake hiyo utamuangusha.
Mfano akiwa anaanza mahusiano mapya anaweza Kutumia njia ya kuwasiliana kwa simu
Baadae mchumba wake akimuelewa anaweza kumwambia kuwa yuko na tatizo
Inshort binadmu hupenda ukamilifu kwa watu .
Ulemavu wowote ukiugeuza in positive way waweza kupata wa kuendana naye.
Bora umejisemea ukweli kiongozi,Hapana mimi siwezi kuoa mwanamke mwenye hizo shida labda azipate nikiwa nae sintoweza kumuacha.
Niko hapa Ani PMNimempa ushauri Kama wako, ila jamaa ameshakata tamaa.
Hakuna binadamu anayetaka shida na matatizo.Duh! Basi ndugu zetu wajipange kuishi bila ya wenza.
DUNIA IMEKUWA NA UBAGUZI
Mpe namba yangu ya WhatsApp tuwasilianeNimempa ushauri Kama wako, ila jamaa ameshakata tamaa.
Dunia yasasa haingalii upendo wa kweli, inaangalia ulichonacho zaidi.Mapenzi ya kweli hayaangalii ukilema wa mtu,watu wanaoa bubu,ni swala la kupendana kwa dhati hapo hakuna kingine,unaoa mwanamke anasikia vizuri lakini kilema chake ni kutokuwa mchoyo, sasa hao utakuwa umekwepa nini...?
Unachosema ni kweli kabsa.Mpe namba yangu ya WhatsApp tuwasiliane
Huyo kakutana na rejection ambazo ambazo ameanza kujenga negativity towards women and relationship.