Unaweza kuoa/kuolewa na mtu mwenye changamoto ya usikivu/ulemavu?

Unaweza kuoa/kuolewa na mtu mwenye changamoto ya usikivu/ulemavu?

Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa).

Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
Hapana hawatengwi. Mbona wanao na kuolewa wengi tuu, na wengine wao kwa wao wanaoana.
 
Hapana hawatengwi. Mbona wanao na kuolewa wengi tuu, na wengine wao kwa wao wanaoana.
Wao kwa wao kuoana ndio kutengwa kwenyewe huko.

Sijui takwimu za ndoa za watu wenye ulemavu, lakini kwa inshu ya jamaa naamini wanatengwa sana kwenye mahusiano.
 
Wao kwa wao kuoana ndio kutengwa kwenyewe huko.

Sijui takwimu za ndoa za watu wenye ulemavu, lakini kwa inshu ya jamaa naamini wanatengwa sana kwenye mahusiano.
Sasa kama wamependana si wanaoana tu mzee.

Pia ziko ndoa kadhaa nazijua wenye ulemavu wameoa/kuolewa na wasio walemavu. Hasa wanaume ndio wameoa walemavu.
 
Mwambie asifocus katika udhaifu wake hiyo utamuangusha.

Mfano akiwa anaanza mahusiano mapya anaweza Kutumia njia ya kuwasiliana kwa simu

Baadae mchumba wake akimuelewa anaweza kumwambia kuwa yuko na tatizo

Inshort binadmu hupenda ukamilifu kwa watu .

Ulemavu wowote ukiugeuza in positive way waweza kupata wa kuendana naye.
Yaah kabisa mkuu, sio ile dem kamkubali tu anaanza kumwambia mimi sisikii vizuri, lazima manzi awashe red light mapema tu.

Hata kama tatizo sio kubwa atalikuza tofauti na yeye akijua mkiwa mnaendelea na mahusiano.
 
Kweli anabidi huyo jamaa aje hapa tumsaidie ili apate kuendelea na MAISHA.
 
Yaah kabisa mkuu, sio ile dem kamkubali tu anaanza kumwambia mimi sisikii vizuri, lazima manzi awashe red light mapema tu.

Hata kama tatizo sio kubwa atalikuza tofauti na yeye akijua mkiwa mnaendelea na mahusiano.
Hahaha ndio mbinu yangu natumia hii. Unakuja kujua hali yangu too late uishabuild HISIA enough.
 
Wao kwa wao kuoana ndio kutengwa kwenyewe huko.

Sijui takwimu za ndoa za watu wenye ulemavu, lakini kwa inshu ya jamaa naamini wanatengwa sana kwenye mahusiano.
Hapana mkuu mimi sioni kama ubaguzi, mimi mwenyewe ninahard of hearing kiasi kidogo ila ninamademu waliovizuri na wanajua hali yangu. Sema wengi wenye hali kama izo kuna kitu cha msingi sana wanapoteza KUJIAMINI
 
Kwa wanawake wa mjini ni tatizo , sasa kusikia tu ..Je, ukiumwa ile mpaka unajisaidia bila ya kujitambua ataweza kukaa na wewe .

Kila siku tunaona ndoa za walemamvu , huyo ana type yake atampata mda wowote ...Kutosikia sio sababu ni kwamba huyo mwanamke hajampenda teka akae nae mbali ..

Njoo uone watu wana mabusha wameoa .
 
Anasikia lakini kwa mbali
Hilo sio tatizo kwenye mapenzi haizuii chochote ni yeye mwenyewe tu anajishtukia na kujishusha kwa wasiwasi wake mwenyewe.
Wako watu wengi sana wenye hilo tatizo na wako na mke na watoto
 
Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa).

Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
Mwambie tatizo hana fedha. Atafute fedha.
1723135131206.jpeg
 
Kuna kijiji niliwahi kufanya kazi huko mkoani tabora, kuna mwamba ni bubu. Huyu chalii ana wake wawili na wote ni mabubu. Lakn amezaa nao fresh na watoto wanaenda shule na wanaongea vzur tu
One day i had to ask, sasa kama una shida na huyu jamaa na ni usiku unafanyaje kumuamsha? Wakaniambia unaeza kugonga hata na rungu mlangoni lakn hataskia. Only way n kusogea dirishani kwake na kuanza kukanyaga chini kwa kishindo kikubwa lazma aamke.
So to make it short, personally kama ningepata manz asiesikia wala nisingewaza. Tena huyo ndo mzuri maana mnadiscuss mambo yenu kwa sign language bila hata presha.
Sema shida yao hua wana wivu sana
 
Back
Top Bottom