EP MEDICS COSMETICS STORE
JF-Expert Member
- Oct 18, 2015
- 2,826
- 4,593
Hapana hawatengwi. Mbona wanao na kuolewa wengi tuu, na wengine wao kwa wao wanaoana.Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa).
Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?
Wao kwa wao kuoana ndio kutengwa kwenyewe huko.Hapana hawatengwi. Mbona wanao na kuolewa wengi tuu, na wengine wao kwa wao wanaoana.
Hongera mkuu.Ndiyo ninawezaa!!
Sasa kama wamependana si wanaoana tu mzee.Wao kwa wao kuoana ndio kutengwa kwenyewe huko.
Sijui takwimu za ndoa za watu wenye ulemavu, lakini kwa inshu ya jamaa naamini wanatengwa sana kwenye mahusiano.
Naunga mkono hoja.Me nilishajiambiaga Bora uhai Ndugu yangu,nikibahatika sawa nikikosa pia sawa.
Yaah kabisa mkuu, sio ile dem kamkubali tu anaanza kumwambia mimi sisikii vizuri, lazima manzi awashe red light mapema tu.Mwambie asifocus katika udhaifu wake hiyo utamuangusha.
Mfano akiwa anaanza mahusiano mapya anaweza Kutumia njia ya kuwasiliana kwa simu
Baadae mchumba wake akimuelewa anaweza kumwambia kuwa yuko na tatizo
Inshort binadmu hupenda ukamilifu kwa watu .
Ulemavu wowote ukiugeuza in positive way waweza kupata wa kuendana naye.
AhsanteeeHongera mkuu.
Yaah kabisa mkuu, sio ile dem kamkubali tu anaanza kumwambia mimi sisikii vizuri, lazima manzi awashe red light mapema tu.
Hata kama tatizo sio kubwa atalikuza tofauti na yeye akijua mkiwa mnaendelea na mahusiano.
Hahaha ndio mbinu yangu natumia hii. Unakuja kujua hali yangu too late uishabuild HISIA enough.Yaah kabisa mkuu, sio ile dem kamkubali tu anaanza kumwambia mimi sisikii vizuri, lazima manzi awashe red light mapema tu.
Hata kama tatizo sio kubwa atalikuza tofauti na yeye akijua mkiwa mnaendelea na mahusiano.
Hapana mkuu mimi sioni kama ubaguzi, mimi mwenyewe ninahard of hearing kiasi kidogo ila ninamademu waliovizuri na wanajua hali yangu. Sema wengi wenye hali kama izo kuna kitu cha msingi sana wanapoteza KUJIAMINIWao kwa wao kuoana ndio kutengwa kwenyewe huko.
Sijui takwimu za ndoa za watu wenye ulemavu, lakini kwa inshu ya jamaa naamini wanatengwa sana kwenye mahusiano.
Hilo sio tatizo kwenye mapenzi haizuii chochote ni yeye mwenyewe tu anajishtukia na kujishusha kwa wasiwasi wake mwenyewe.Anasikia lakini kwa mbali
Mwambie tatizo hana fedha. Atafute fedha.Kuna jamaa yang ana shida ya kutosikia vizuri, anasema tatizo alilonalo limemfanya awe anakosa mwenza (Anakataliwa).
Ni kweli kuwa watu wenye changamoto ya ulemavu wanatengwa na jamii?