Hyrax
JF-Expert Member
- May 20, 2023
- 1,458
- 4,409
Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume.
Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka mwisho wa safari
Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka mwisho wa safari