Shida unaogopa kumuacha kuchukua mwingine,,pombe kunywa kwa burudani yako sio mpaka usababishiweNimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume.
Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka mwisho wa safari
Mkuu labda kama pombe ni tamu na umeipatia sababu ya kuibugia otherwise huyo mwanamke ni nini anakuoffer kisichopatikana kwengine? Huna options? Bila yeye hakuna maisha? Ukimpoteza huwezi kupata kama yeye? Kama ubongo wako unaamini hivi na amejua jiandae na kiharusi katika umri mdogo.Nimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume.
Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka mwisho wa safari
Manamake mengi ni takataka kabisa. Tunaamua kunyamaza tu sometimeNimeanza ulevi ndugu zangu maana ndio option pekee ya kunifanya nijielewe mwenyewe kwa haya ninayopitia. Lakini nimejifunza kwa lugha ngumu sana kuwa kuishi na mwanamke mwenye Ego na kiburi ni jambo gumu sana kwa mwanaume.
Niombeeni ndugu zangu nikiacha ulevi ntaahamia tabia nyingine mpaka mwisho wa safari