pombe kali
JF-Expert Member
- Jun 28, 2014
- 282
- 561
Endelea na moyo huo.mara nyingi matokeo ya tabia hizi uenda Kwa vizazi vyetu vijavyo.watu waaminifu.Hii hali imewahi kunitokea mara 3 na zote nimepigwa ! Mara ya kwanza alipokea kijana nikamfahamisha nimekosea nimetuma pesa kimakosa , akanijibu ngoja aangalie, baadaye nilipompigia akanijibu ni kweli ila ameitoa na kaitumia akipata atanirudishia !! Nikamjibu sawa ila isimuumize kichwa akiona ni haki yangu anirudishie lkn akiona ni haki yake sina KINYONGO.
Mwingine nilikosea yy hakutaka hata kupokea simu yangu. Nikamuandikia sms kuwa ni fedha kwa ajili ya mgonjwa hakujibu.
Mwingine nilipokosea nikamjulisha yule niliyekuwa namtumia nikampa namba ya simu , alipopiga AKAOGA matusi nikawasiliana na VODA nikapewa jibu Jamaa kesha itoa .
Live nikiwa natembea barabarani nikaiona 5,000/= nikaiokota, halafu nikahisi yawezekana ni ya hawa vijana wanaouza miwa barabarani wakati nataka kwenda kuwauliza kijanja.
Nikamuona jamaa mbele yangu kwa mbali anajipekuapekua , nilipomsogelea nikamuuliza vp, akajibu nimepoteza fedha nikamuuliza shilingi ngapi?
Akajibu 5,000/= nikamwambia haya hii hapa basi tukaendelea kupiga stori nikamwambia kwangu mm ni ngumu ssna kula fedha kama hiyo yaani sitapata AMANI ya moyo kabisaa
Uaminifu ni kitu kizuri na kingine kwa imani yangu itakuwa nakula pesa ambayo si halali yangu na ni deni ambalo kama sitolilipa hapa duniani basi siku ya hukumu nitalipia kwa thawabu zangu (AND TRUST ME HAKUNA ANAYEOMBEA HILI LIMKUTE) kwa hofu ya Allah (the almighty) ningeirudisha licha ya nafsi yangu kunianbia tofauti.Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
Sasa nguo zimekusaidia nini? Kama alikuwa anatuma kwa mgonjwa alafu kwa wewe kununua nguo zako yeye akafa inakusaidia nini? Kwani hukuwa na bajeti ya kununua nguo mpaka mtu akosee? Nawe unaona fahari kabisa kuandika mbele za watu kuwa ulinunulia nguo kali? Shwain wewe.Kuna dada alikoseaga kutuma muamala nikautoa nikajinunulia nguo ikapita kama siku mbili akapiga nikamwambia nimeitumia alilalamika sana nikamwambia kama anaweza asamehe tu maana nimenunua nguo alafu kali nikamtumia picha za nguo ye mwenyewe akasema ni nzuri basi ikaisha hivyo tukaendelea kuwasiliana kila siku anaomba nimtumie ile hela namwambia sina mpaka akachoka akakata mawasiliano
Ni tapeli huyoChukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
Elfu hamsini ndiyo pesa inakuogopesha kuitaja? Acha ushamba brazaaaIlikua nyingi boss siwezi kuitaja hapa.
SawasawaMkuu Unamrudishia Tenda Wema Uende Zako.
Shwaini mama ako mzazi angesema kama zinakwenda kwa mgonjwa zaidi alikua anaomba nirudishe na kiondacho kwa mganga hakirudi naona umeumia sana mimi kununua nguo πππ wivu utakufanya ufe vibaya.Sasa nguo zimekusaidia nini? Kama alikuwa anatuma kwa mgonjwa alafu kwa wewe kununua nguo zako yeye akafa inakusaidia nini? Kwani hukuwa na bajeti ya kununua nguo mpaka mtu akosee? Nawe unaona fahari kabisa kuandika mbele za watu kuwa ulinunulia nguo kali? Shwain wewe.
Kuombana kurudishiana pesa kwa kutuma miamala kimakosa ni njia wanazotumia scammers ama kwa jina jingine matapeli.Chukulia umekata ringi balaa halafu mtu kajichanganya katuma fedha kwako iwe kwenye akaunti ya Benki au Simu halafu akaomba urudishe, utatuma hiyo hela?
Watu wanatakiwa kuishi kama huyu hapa.Mimi niliwahi kukosea no,pesa ikaenda sehemu nyingine,nika mpigia jamaa akasema nakutumia kesho asubuhi ili nijilizishe,kama hatatokea mwingine wa kunipigia,nikaandika maumivu lakini jamaa alikua mwema sana kweri alinitumia.
Tangu siku hiyo akawa lafiki yangu,badae nika muuliza aliwezaje kuludisha? Akasema asingeweza kula pesa ambayo sio jasho lake pia labda pesa ilikua inaenda kwa mgonjwa ili akapate matibabu,jamaa anaishi ukerewe Mungu ampe maisha malefu.