Unaweza kuwa mchapakazi lakini usiwe hardworking

Gentleman nakubali jinsi unavyo pambana ndio maana kati ya chawa wote wewe sijakuweka ignore list pekee πŸ’
gentleman,
sasa hebu fikiria humu jf tu Tlaatlaah yupo hivi, huko field kwa wananchi unadhani atakuaje?

mimi ni mbobevu katika siasa na diplomasia,
na kikanuni mwanadipolmasia hafai kua na waoga lakini pia hafai kushindwa kuchangamana na yeyote yule.
Infact kwa case ya Tanzania, wanasiasa wote kwangu ni ndugu, marafiki na wengine ni wachumba zangu..

sijawahi kuona kama kuna sababu hata moja kumuignore yeyote hata aniporomoshee kebehi, dhihaka au matusi mazitomazito tena kwa mpangilio maalumu,

sitishikagi kabisa,
hata kuana wengine walikuaja pm ati wanamtisha mbobevu nikwambie pelekeni ushirikina wenu huko na pm yangu iko wazi mara chachechache tunachati na kusaidiana na wangwangwa kadiri ya nafasi iliyopo

so,
mimi ni kiongozi kijana sana na inafaa kua wa mfano katika kuonyesha njia, mimi ni zao la uthubutu na sio kushikwa mkono
 
Kabisa mkuu nakuunga mkono bro.
 
Nakukubali Taikuni Hii leo Umenikuna Ubongo wangu
 
Umemwaga madini tupu, nipo nakaa nyumba ya kupanga wapangaji saa kumi wameamka wanaenda mishe wanarudi saa 4 usiku wamechoka Mimi naamka saa 2 naenda mishe saa4 Asubuh Hadi saa12 jion nimerudi, ila nimewapiga gape kwa maendeleo na Bado wananiambiaga kuwa Mimi mvivu coz naamka saa2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…