Unaweza kuzima taa juu ya Upendo? Happy Birthday Bariki Minja

ladyfurahia

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2011
Posts
14,758
Reaction score
9,592
Habarini wanajamvi wenzangu

Nakutakia heri, afya njema, akli na hekima kama za mfalme sulemani, kuwa upeo mkubwa kwa
mambo uyafanyayo na lile ulilokusudia litimie katika ndoto zako na Mungu akupe wingi wa siku
uishi miaka hata 100

Marafiki wote wa cc tumtumie salamu za upendo bestito wetu Bariki kwa siku yake hii maalum
ya kukumbuka kuzalliwa kwake

Happy Birthday Bariki

pokea kazawadi haka kaadogo kwako

View attachment 110341

Wasaalamu

Jael Lady
 
HBD Bariki... Ndofu tunanywea wapi jioni ya leo..
 
Minja jiunge JF kabla hasira zangu hazijapanda.....Khaaaaa tunakupigia nyimbo utadhani member mwenzetu kumbe bado...!


Baada ya mkwara huo sasa nichukue fursa hii kukutakia heri katika kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa.
 
mie???..muulize Heaven on earth vil;e nilikua nataka uendelee..sema wakaniahidi kitu ambacho kilinigusa..btw..ushajirudishia madaraka?
mimisa nimekumiss sana ujue...nilikuona na wewe kwenye umati ukishangilia mapinduzi dhidi yangu..
 
Last edited by a moderator:
mie???..muulize Heaven on earth vil;e nilikua nataka uendelee..sema wakaniahidi kitu ambacho kilinigusa..btw..ushajirudishia madaraka?

Madaraka wataweza kuchukua..!?? ule ni upepo tu ulikuwa unapita... nipo madarakani kama kawa na Imara zaidi.... na hivi naanzisha cc brigade itakayokuwa na jukumu la kulinda raia, viongozi na maslahi yao.
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha..tukumbukane kwenye ufalme wako tu
Madaraka wataweza kuchukua..!?? ule ni upepo tu ulikuwa unapita... nipo madarakani kama kawa na Imara zaidi.... na hivi naanzisha cc brigade itakayokuwa na jukumu la kulinda raia, viongozi na maslahi yao.
 
kweli..unajua unahitaji wasaidizi thabiti watakaozuia matufani tufani yoyote b4 hujapatwa na madhara
Hilo tu usijali.... tena nina mpango wa kusuka upya safu ya uongozi...
 
kweli..unajua unahitaji wasaidizi thabiti watakaozuia matufani tufani yoyote b4 hujapatwa na madhara

Hiyo ndo habari ya mjini, na kwa sasa naanza na cc brigade...
 
hii taarifa ya siri sana..eriki na genge lake hawatakiwi kuiona..wafanyie suprise na cc brigade
Hiyo ndo habari ya mjini, na kwa sasa naanza na cc brigade...
 
acha nimjibie kwani yuko bize hapa anandaa kukubata wa jioni kama uko arusha njoo hapa kiwatengu Pub Mtwara ndo tunakunjwa ndogu na poda za mistari umeshakunywa vinywaji hivi halafu unalumagia na samaki mnchanga upo hapo
HBD Bariki... Ndofu tunanywea wapi jioni ya leo..
 
Last edited by a moderator:
acha nimjibie jamani rafiki mbona mkwara mingi kiasi hicho
ameshajiunga ila yeye ni mgeni kama mie ndo wageni hapa cc
tutakaribisheni sote karibu tutakuwa na function ndogo pale kiwatengu Pub Mtwara
nyote mnakairibishwa sana tena sana
Minja jiunge JF kabla hasira zangu hazijapanda.....Khaaaaa tunakupigia nyimbo utadhani member mwenzetu kumbe bado...!


Baada ya mkwara huo sasa nichukue fursa hii kukutakia heri katika kumbukumbu ya siku yako ya kuzaliwa.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…