Unaweza kuzima taa juu ya Upendo? Happy Birthday Bariki Minja

Mwambie huyo mchumba sijui kaka ajiunge huku;
aseme tu hata jina lake la zamani.

Mpe happy birthday yake lakini.
 
atakuja tu ondoa shaka kwani yuko bize hapa anandaa msosi wa nguvu andaa tumbo lako kwa maakuli kama uko mtwara wakaribishwa hakuna kiingilio ni miguu yako

kiwatengu tafadhali niwakilishe mahali hapo
ni muhimu sana.
atakuja tu ondoa shaka kwani yuko bize hapa anandaa msosi wa nguvu andaa tumbo lako kwa maakuli kama uko mtwara wakaribishwa hakuna kiingilio ni miguu yako
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom