Unaweza kuzima taa juu ya Upendo? Happy Birthday Bariki Minja

Lol...tupo nje tunajipongeza kwanza...tukirudi ni kazi mwanzo mwisho

Mnajipongeza kwa lipi.........,kuwasha moto na kuwarudia mwenyewe

mwambie mumeo aamke kwanza analalaj hadi sa hivi!!!!!!!!!!!!!
 
Zimwendee Jael Lady au ladyfurahia?

Btw umeshajifunza namna ya kuheshimu members wa JF?

Maana kuna siku nilikuona wabwabwaja domokaya kama debe tupu...

Kumbe mbio zote zilikuwa juu ya sakafu, yako nia ilikuwa kutafuta 'gal'...

https://www.jamiiforums.com/love-connect/513780-mwenye-real-love-inahuxu.html

https://www.jamiiforums.com/utambul...m/513950-mna-angalia-jinsia-kukarbishana.html

halafu mbona sielewi jana niliona jael lady ndio kaanzisha hii thread leo naona ladyfurahia mmh!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Chezeya makorokocho na ufukunyuku wewe....

huyo ni mutu moja lakini ako na jina mbili...

sasa si angebaki na jina lake tu maana hiyo bestito naijuaga ni yake

na kule MMU pia alipost uandishi unaendana,angetupa taarifa wenzie juu ya new changes
 
teh teh atakuja kukujibu mpendwa miye ngoja nsepeee

sasa si angebaki na jina lake tu maana hiyo bestito naijuaga ni yake

na kule MMU pia alipost uandishi unaendana,angetupa taarifa wenzie juu ya new changes
 
watu wanaamua kuniunganisha na mtu nisiyejua bestito kuna mtu anatafuta roho yangu humu mjengoni hataki mm niishi we mwache dawa yake hiko jikoni na leo atanitambua kama mm ni ladyf au majanga lazima nimkomeshe ili ajifunze adabu maana anaona sifa kunichafulia jina langu humu mjengoni best NITAMFUNDISHA ADABU AKAMWELEZE NA MKEWE
halafu mbona sielewi jana niliona jael lady ndio kaanzisha hii thread leo naona ladyfurahia mmh!!!!!!!!
 
Kuna mtu ameamua kunichafua humu mjengoni kisa nilichomkosea sikijui ila nitamfundisha adabu yake ili awaeleze mashugamami wake na huyo mwanahayawani mwenzake naona anapalia makaa kwenye kuni mbichi
sasa si angebaki na jina lake tu maana hiyo bestito naijuaga ni yake

na kule mmu pia alipost uandishi unaendana,angetupa taarifa wenzie juu ya new changes
 
Kuna mtu ameamua kunichafua humu mjengoni kisa nilichomkosea sikijui ila nitamfundisha adabu yake ili awaeleze mashugamami wake na huyo mwanahayawani mwenzake naona anapalia makaa kwenye kuni mbichi

Cousin wangu jamani,pole sana mpenzi mimi nimeshangaa sana nikawaza ni nini tena kinaendeleaa hapa

Calm down bestito wangu!!!!!!!!!!
 
watu wanaamua kuniunganisha na mtu nisiyejua bestito kuna mtu anatafuta roho yangu humu mjengoni hataki mm niishi we mwache dawa yake hiko jikoni na leo atanitambua kama mm ni ladyf au majanga lazima nimkomeshe ili ajifunze adabu maana anaona sifa kunichafulia jina langu humu mjengoni best NITAMFUNDISHA ADABU AKAMWELEZE NA MKEWE

eeh mungu utakuwa umekasirishwa sana jamani...............kwanini watu wanapenda kuwakwanza wenzao kiasi hiki
 
Back
Top Bottom