Unaweza kuzima taa juu ya Upendo? Happy Birthday Bariki Minja

hatimaye ninavunja ukimya nakujitokeza naomba radhi kwakuchlewa, hii inatokana na stress za kuzaliwa na maisha bila ajira, nawashukuru wot, HAIKENYI SANA WANDU WAKO, THANX XO MUCH MY PEOPLE, walioko marangu karibuni sana tujumuike pamoja siku ya leo ninapo kumbuka mika isiyo pungua robo karne ya kuzaliwa kwangu thanx agin and thanx God for keepng me alive
 
asanteni sana sana frnds n special thanks zmwendee wangu Jael
 
zaidi ya robo karne Avemaria kam umexoma hesabu utakua umenipata acha nizme mishumaa niwagawie keki naanza na Jael wengne mnafuatia...
 
zaidi ya robo karne Avemaria kam umexoma hesabu utakua umenipata acha nizme mishumaa niwagawie keki naanza na Jael wengne mnafuatia...

miaka 25? ur too young my friend..
so how about Jael?
 
Baba V nahitaji zawadi yangu,........

Wewe nimekukubali mazima, mwanamke wa shoka , una msimamo kam mlingoti wa chuma... safi sana, ulinifurahisha ulivyokuwa unawapinga dhahiri tena kwa kuwatovuga vidole vya macho. You're my fighter... Zawadi yako yaja wangu usijali..
 
Last edited by a moderator:
Hawaiii.....

Nafahamu kuwa mko kisiwa cha Ukara.... natuma makombora ya IBM soon.... wakati Obama anaingia Syria na JWTZ inaingia Kigali mie ntakuwa nawasaka Ukara Island.
 
Nafahamu kuwa mko kisiwa cha Ukara.... natuma makombora ya IBM soon.... wakati Obama anaingia Syria na JWTZ inaingia Kigali mie ntakuwa nawasaka Ukara Island.
Mama v ameshakuandalia kifungua kinywa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…