Mtu Alie Nyikani
JF-Expert Member
- Nov 9, 2022
- 949
- 2,038
Na mda wa Kuwa Darasani au wa Masomo unaruhusiwa kutoka kazin kwenda class au hapo inakuaje mkuu kuhusu Kusoma na Kwenda kazinSerikalini ....unaweza mkuu wanawaita in-service Sasa sijajua kuhusu Taasisi binafsi
Ukipata hiyo Kazi ,unaweza wasiliana na muajiri wako anaweza kukupa Mwongozo kuhusu kusudi lako ..Na mda wa Kuwa Darasani au wa Masomo unaruhusiwa kutoka kazin kwenda class au hapo inakuaje mkuu kuhusu Kusoma na Kwenda kazin
Samahan unaweza nifafanulia kidogo
Inategemea na course, nyingine unakaa darasani. Pia kipindi cha exams lazima uwe na muda.
Hiyo Open University mbona nasikia huwa ni wasumbufu sanaa kwa upande wa kutoa vyeti lakin pia ubora wao siyo mzuri kivile
Inabidi tuongee Mkuu.nilisoma dip, nikasoma deg huku nikiwa kazini
ilikuwa private, walinipa ruhusa ya kuingia ya shift usiku tu
nilichezea karai za kutosha, ila siku-disco
kuna baadhi ya vyuo vina evening classes
Hivo vyuo huwa nasikia vina shida kwa upande wa Ubora pamoja na ufundishaji wake pamoja na uandaaji wake wa masomo japo sijawai soma kupitia hivo vyuo but nawez thibitisha kupitia brother wangu aliwai pita huko mwishoe alipata changamoto mpka akamua kuachaUnaweza kusoma kupitia Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, lakini pia kupitia madarasa ya jioni (Evening Class). Mchawi hapo ni location tu.
Dogo hamna chuo kilicho bora wala nn. Mambo mengi watu wanajifunzia kazini. Siku ukipata ajira ndio utalijua hili. Ukishafika kazini hamnaga mm nilisoma wapi sijui mwalimu nani alifanyaje.Hivo vyuo huwa nasikia vina shida kwa upande wa Ubora pamoja na ufundishaji wake pamoja na uandaaji wake wa masomo japo sijawai soma kupitia hivo vyuo but nawez thibitisha kupitia brother wangu aliwai pita huko mwishoe alipata changamoto mpka akamua kuacha
Inshort siyo vyuo Bora
Kuhusu evening Classes hapo na mm ndo nataka
Location nipo Dar Sasa sjui vyuo ambavyo vinatoa evening Classes
Labda unaweza nisaidia hapo mkuu
Hamna mkuu, nazungumzia usumbufu wao kuhusu masomo na kufanya mitihani huwa nasikia wanasumbua sanaa.Dogo hamna chuo kilicho bora wala nn. Mambo mengi watu wanajifunzia kazini. Siku ukipata ajira ndio utalijua hili. Ukishafika kazini hamnaga mm nilisoma wapi sijui mwalimu nani alifanyaje.
Kisoma online ni changamoto hapa kwetu hasa suala la mtandao hasa wanaofanyia KAZI vijijiniKwa technology ilipofika kukaa darasani traditionally haina mantiki isipokuwa kwa vijana fresh from school! Hawa hizo stage ni muhimu kuwaimarisha.
Accredited Universities zinazotoa on line degree zipo unapiga shule vizuri tu, lectures, assignments, exams zote ni on line. Ila expensive bora vyuo vyetu vya hapa.
Hivo vyuo huwa nasikia vina shida kwa upande wa Ubora pamoja na ufundishaji wake pamoja na uandaaji wake wa masomo japo sijawai soma kupitia hivo vyuo but nawez thibitisha kupitia brother wangu aliwai pita huko mwishoe alipata changamoto mpka akamua kuacha
Inshort siyo vyuo Bora
Kuhusu evening Classes hapo na mm ndo nataka
Location nipo Dar Sasa sjui vyuo ambavyo vinatoa evening Classes
Labda unaweza nisaidia hapo mkuu
Serikalini unaondoka kabisa kazini unaenda chuo kazini unakuwa unaenda unapokuwa likizo. Lakini wakati wa darasa unakuwa full time chuoni ila mshahara wako unasoma kama kawaida! Kwa private sector utatakiwa kuacha kazi mazima!Na mda wa Kuwa Darasani au wa Masomo unaruhusiwa kutoka kazin kwenda class au hapo inakuaje mkuu kuhusu Kusoma na Kwenda kazin
Samahan unaweza nifafanulia kidogo
Mtihan onlain???Kwa technology ilipofika kukaa darasani traditionally haina mantiki isipokuwa kwa vijana fresh from school! Hawa hizo stage ni muhimu kuwaimarisha.
Accredited Universities zinazotoa on line degree zipo unapiga shule vizuri tu, lectures, assignments, exams zote ni on line. Ila expensive bora vyuo vyetu vya hapa.
1. Hakikisha una nafasi ya kutosha ktk kusoma,Hiyo Open University mbona nasikia huwa ni wasumbufu sanaa kwa upande wa kutoa vyeti lakin pia ubora wao siyo mzuri kivile
Au hapo Inakuaje mkuu?