Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli aisee ni parefu sanaa na walienda wakafanikishwa Waka ajiriwa Wala hawakuzingua vyeti Kuwa wamesoma open universityYani jamaa walipata ajira kwa sifa ya cheti ya kidato cha nne, baada ya muda kidogo waliji organise tu wakaenda OU wakapewa muongozo kila mtu alichagua alichoona anamudu na kwa wakati wake akaanza mafunzo.
Kiukweli walikuwa serious na walikomaa sana fikiria tokea Certificate hadi ufike Bachelor degree ni safari ndefu.
Baadae walipeleka vyeti vyao mahali husika taratibu zikafanyika.
Naomba maelezo angalau kwa uchache mkuuNdiyo...
Kozi gan nzuri ya kusoma open kwa mwajiriwaNa mimi kuna watu kama wanne wamesoma hapo hapo Open University na kwa sasa mambo yao mazuri tena kwa level hiyo hiyo ya bachelor degree.
Sijajua unamaanisha usumbufu wa namna gani kwasababu na wao walikuwa tayari waajiriwa na walianzia Certificate mpaka huko bachelor degree.