Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Okay shukurani kiongoz 🙏Mdogo wangu si bora utenge chumba hapo home uifanye ofisi alafu fungia internet au nunua rooter ya mtandao pendwa halafu lipia vyuo vya juu uwe unasoma mtandaoni jioni na usiku siku ya mtihani unaomba ruhusa job
Dah hapo ndo naishiwa nguvu kabisaSerikalini unaondoka kabisa kazini unaenda chuo kazini unakuwa unaenda unapokuwa likizo. Lakini wakati wa darasa unakuwa full time chuoni ila mshahara wako unasoma kama kawaida! Kwa private sector utatakiwa kuacha kazi mazima!
Labda jaribu ku-check na watu wa Open University of Tanzania huwa naona kama sessions zao huwa rafiki kwa watu walio kazini!Dah hapo ndo naishiwa nguvu kabisa
Maana mm nipo private sector
Aisee sjui nifanyeje
Na mimi kuna watu kama wanne wamesoma hapo hapo Open University na kwa sasa mambo yao mazuri tena kwa level hiyo hiyo ya bachelor degree.Hivo vyuo huwa nasikia vina shida kwa upande wa Ubora pamoja na ufundishaji wake pamoja na uandaaji wake wa masomo japo sijawai soma kupitia hivo vyuo but nawez thibitisha kupitia brother wangu aliwai pita huko mwishoe alipata changamoto mpka akamua kuacha
Inshort siyo vyuo Bora
Kuhusu evening Classes hapo na mm ndo nataka
Location nipo Dar Sasa sjui vyuo ambavyo vinatoa evening Classes
Labda unaweza nisaidia hapo mkuu
Unasoma vinzuri tuHabari ya uzima wakubwa kwa wadogo, natumaini uzima upo lakini wale ambao Wana shida ya Afya basi Mwenyezi Mungu awajalie uzima.
Naomba kuuliza kwa wale wenye uzoefu au walishapitia naomba Mnisaidie hapa.
Mfano mtu amemaliza Diploma then akapata kazi akaajiriwa, je anaweza soma Degree akiwa anaendelea na kazi yake bila kuacha (Yani kazi ya Kuajiriwa maybe na kampuni au Tasisi yeyote) na kama inawezekana kusoma ni taratibu gani?, Inabidi apitie au Afanye Ili awe akisoma Degree yake, Huku akiwa kazini kaajiriwa
Plz mwenye uelewa na Hili anaisadie ndugu zangu.
Natanguliza shukurani zangu za dhati.
Walivyo maliza Diploma waliendelea na Bachelor Na Open University au kivipiNa mimi kuna watu kama wanne wamesoma hapo hapo Open University na kwa sasa mambo yao mazuri tena kwa level hiyo hiyo ya bachelor degree.
Sijajua unamaanisha usumbufu wa namna gani kwasababu na wao walikuwa tayari waajiriwa na walianzia Certificate mpaka huko bachelor degree.
Kingine naomba kuuliza unawez fanya transfer kutoka open University uje physically Yani kwenye vyuo vya kawaidaNa mimi kuna watu kama wanne wamesoma hapo hapo Open University na kwa sasa mambo yao mazuri tena kwa level hiyo hiyo ya bachelor degree.
Sijajua unamaanisha usumbufu wa namna gani kwasababu na wao walikuwa tayari waajiriwa na walianzia Certificate mpaka huko bachelor degree.
Okay thanks mkuuUnasoma vinzuri tu
Cha msingi uelewane na boss wako,
Kuna kazi unaweza kufanya hata usipokuwa kazini mfano uhasibu
Mnaweza punguza masaa ua kufanya kazi kama masomo yatakuwa mchana au jioni,boss wako ataangalia kama atamuajiri mtu mwingine ambaye mtakuwa mnafanya shifting ambapo mtagawana mshahara nusu nusu.
Au wewe hapo unaweza mtafuta mtu akawa anakufanyia kazi mkiwa mnasaidiano hapo mpaka mkubaliane na boss wako
serikalini sawa asiwe mwalimu lakiniSerikalini ....unaweza mkuu wanawaita in-service Sasa sijajua kuhusu Taasisi binafsi
Ok thanks mkuuLabda jaribu ku-check na watu wa Open University of Tanzania huwa naona kama sessions zao huwa rafiki kwa watu walio kazini!
Ok thanksLabda jaribu ku-check na watu wa Open University of Tanzania huwa naona kama sessions zao huwa rafiki kwa watu walio kazini!
Sasa Mimi siyo Mwalimuserikalini sawa asiwe mwalimu lakini
apo ni rahisi sana kusoma na ukapanda darajaOk thanks
Sasa Mimi siyo Mwalimu
Okay unawez nisaidia Mkuu kwa maelezo angalau kwa ufafanuzi kidogo mm nipo Bandarini kwa upande wa Clearing and Forwarding lakin private so nawezaje soma bila kuathiri kazi yanguapo ni rahisi sana kusoma na ukapanda daraja
Na Bado upo Job MkuuInategemea na taasisi unayopofanyia kazi sera zake na sheria zako, pamoja na chuo unachotaka kusoma na kozi....
Me binafsi nmesoma diploma nikiwa kazin na sasa hivi nipo 2nd year degree.
Kuna chuo kipo Kenya kinaitwa Africa Nazarene University (ANU)wana kozi nyingi kwenye Open and distance learning mode yaani unasoma na kufanya mitahani online ushindwe wewe tu! vyuo vikuu vya dizaini hii vimejaa tele japo inategemea unataka kozi gani maana kozi kama udaktari uhandisi, kwa kifupi kozi za sayansi kusoma fully online ngumu sababu zina mafunzo mengi sana kwa vitendo yanayotaka kuwe na physical contacts ila kama ni kozi za sanaa, biashara, sheria, ualimu kozi za fully online and distance learning mode zimejaa teleeeeeee. Kila la kheri.Dah hapo ndo naishiwa nguvu kabisa
Maana mm nipo private sector
Aisee sjui nifanyeje
Ofisi yako kwan ina utaratibu gani mtu akitaka kujiendeleza kimasomo?......maana hamna utaratibu maalum inategemea na unapofanyia kazi mkuuNa Bado upo Job Mkuu
Naomba unisaidie angalau kidogo kwa maelezo hatua gani umepitia mpka kufika hapo
Kujiendeleza wanaruhusu sasa lakin kazin uwepo na uhudhurieOfisi yako kwan ina utaratibu gani mtu akitaka kujiendeleza kimasomo?......maana hamna utaratibu maalum inategemea na unapofanyia kazi mkuu