Unaweza soma Degree Huku ukiwa Kazini

Vyuo karibu vyote hapa Dar es Salaam wanatoa evening classes, ila ni kwa baadhi ya courses.
Kazi kwako kutafuta taarifa kwa chuo husika uone ni course zipi wana offer kwa evening.
 
Serikalini unaondoka kabisa kazini unaenda chuo kazini unakuwa unaenda unapokuwa likizo. Lakini wakati wa darasa unakuwa full time chuoni ila mshahara wako unasoma kama kawaida! Kwa private sector utatakiwa kuacha kazi mazima!
Dah hapo ndo naishiwa nguvu kabisa
Maana mm nipo private sector
Aisee sjui nifanyeje
 
Na mimi kuna watu kama wanne wamesoma hapo hapo Open University na kwa sasa mambo yao mazuri tena kwa level hiyo hiyo ya bachelor degree.

Sijajua unamaanisha usumbufu wa namna gani kwasababu na wao walikuwa tayari waajiriwa na walianzia Certificate mpaka huko bachelor degree.
 
Unasoma vinzuri tu
Cha msingi uelewane na boss wako,
Kuna kazi unaweza kufanya hata usipokuwa kazini mfano uhasibu
Mnaweza punguza masaa ua kufanya kazi kama masomo yatakuwa mchana au jioni,boss wako ataangalia kama atamuajiri mtu mwingine ambaye mtakuwa mnafanya shifting ambapo mtagawana mshahara nusu nusu.
Au wewe hapo unaweza mtafuta mtu akawa anakufanyia kazi mkiwa mnasaidiano hapo mpaka mkubaliane na boss wako
 
Walivyo maliza Diploma waliendelea na Bachelor Na Open University au kivipi
Maana Mimi Nina Diploma nataka kujiendeleza Bachelor na nipo Job so
Unaweza nambia hao jamaa hakuna changamoto walizo PATA zozote
Plz mkuu naomba ufafanuzi zaidi
 
Kingine naomba kuuliza unawez fanya transfer kutoka open University uje physically Yani kwenye vyuo vya kawaida
 
Okay thanks mkuu
 
Inategemea na taasisi unayopofanyia kazi sera zake na sheria zako, pamoja na chuo unachotaka kusoma na kozi....

Me binafsi nmesoma diploma nikiwa kazin na sasa hivi nipo 2nd year degree.
 
Inategemea na taasisi unayopofanyia kazi sera zake na sheria zako, pamoja na chuo unachotaka kusoma na kozi....

Me binafsi nmesoma diploma nikiwa kazin na sasa hivi nipo 2nd year degree.
Na Bado upo Job Mkuu

Naomba unisaidie angalau kidogo kwa maelezo hatua gani umepitia mpka kufika hapo
 
Kwani UDSM wameacha kutoa evening classes?

Nakumbuka kipindi kile najiunga kulikuwa na fomu za kujaza Kama umeoa, unafanya kazi na ungependa kufanya semina lini pamoja na uhitaji wa masomo ya jioni.

By the way, nowdays sijajua taratibu zao na ratiba zao zipoje
 
Dah hapo ndo naishiwa nguvu kabisa
Maana mm nipo private sector
Aisee sjui nifanyeje
Kuna chuo kipo Kenya kinaitwa Africa Nazarene University (ANU)wana kozi nyingi kwenye Open and distance learning mode yaani unasoma na kufanya mitahani online ushindwe wewe tu! vyuo vikuu vya dizaini hii vimejaa tele japo inategemea unataka kozi gani maana kozi kama udaktari uhandisi, kwa kifupi kozi za sayansi kusoma fully online ngumu sababu zina mafunzo mengi sana kwa vitendo yanayotaka kuwe na physical contacts ila kama ni kozi za sanaa, biashara, sheria, ualimu kozi za fully online and distance learning mode zimejaa teleeeeeee. Kila la kheri.
 
Na Bado upo Job Mkuu

Naomba unisaidie angalau kidogo kwa maelezo hatua gani umepitia mpka kufika hapo
Ofisi yako kwan ina utaratibu gani mtu akitaka kujiendeleza kimasomo?......maana hamna utaratibu maalum inategemea na unapofanyia kazi mkuu
 
Ofisi yako kwan ina utaratibu gani mtu akitaka kujiendeleza kimasomo?......maana hamna utaratibu maalum inategemea na unapofanyia kazi mkuu
Kujiendeleza wanaruhusu sasa lakin kazin uwepo na uhudhurie
Sasa mm nataka nisome na hku nikiwa Job napiga kazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…