Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Nadhani bongo bado hatuna uwezo wa kutoa watu wenye Master na Phd na wakatoka na vigezo vya hizo elimu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna Alisoma akawa anajivuna au hizi kauli munawalisha tu waliosoma nachoshangaa na wewe umesoma still unatumia hizi kauli za "anajifanya msomi"Wazee wa zaman hawakua na PHD Wala kisomo Ila walikua na ELIMU kubwa na waliweza kuyatawala maisha yao..
NB:
Ukiwa na PHD ambayo haikusaidii kuweza kutawala Maisha YAKO hauna tofauti na kina """JOHN KISOMO"""
Kuna tofauti kidogo kwenye ELIMU kuelimika na ELIMU vyeti...
ELIMU kwangu inabakia kua confidence na huwaga sinaga EXCUSES Kama rafik yangu mmoja ambae hujilaumu ""NINGESOMA"" so ELIMU kwangu Ni ngao na nyenzo muhimu ya kupambana na maisha DEGREE ZANGU ZOTEE ZIPO KABATINI na Wala sijawai kuniona Bora ama kujivuna na kujiweka mbali na jamii yangu..
✍️ Dr am 4 real PhD
Usimdharau yule Proff ww na ukoo wako hamumfikii hata punje.Wapo akina profesa majalala nk
Upo sahihiNimefanya kazi na watu watu wenye elimu (academic performance)mbalimbali na uzoefu mbalimbali (working experiences) kwenye fani mbalimbali (faculties).
Kwa sasa ninaweza kuthibisha kati ya waliofanya kazi na mimi basi wale waliokuwa na PhDs walikuwa na ufahamu na ufanisi mzuri (competency and skills) mkubwa kuliko wale wenye masters na degree moja kwa wingi wao.
Ila kilichonishangaza na kunifanya nitoke na andiko hili ni kwamba kuna PhDs nyingine zilinishtua na kunifadhaisha sana, hasa kwenye uwezo wao wa kujenga hoja za kisayansi, kumake a case, kuanalyse na kusumarize content, kunarrate na kuelezea plans na findings kisayansi kunatia mashaka
Wengi kati ya hao performers ambao hawakumeet my expectation according to their level of education wamepatia PhD zao either hapa hapa Bongo au ni zile za thesis bila kufanya comprehensive research. Kibaya nyingi ni za faster-faster kwa kutumia project research ambazo either zilifanywa na team ya wataalamu kama project , wao wakazitumia kuzishap na kuziredesign na kuandikia maandiko ya PhD
Ebu tupatie uzoefu wako ya wataalamu wetu hawa bila kutumia lugha ya kusikashfu hizi PhDs na tunajua nyingine chache hasa wa vyuo vikuu ilibidi zifutwe ?
Naomba nieleweki sina wivu na ninawapongeza kwani msoto wa PhD sio mchezo na simahanishi hakuna PhD nzuri za Bongo wala simahanishi PhD za harakaharaka za thesis-bases ni mbaya, ila kwa uzoefu wangu nimeconclude kulingana na personal observation .
Lesson learnt ni kwamba siku nikitaka kuchukua PhD basi itanibidi nijitahidi nijue niichukulie wapi na iwe ya aina gani na modality ipi?. This is my personal obervation so my conclusion, please don't take it personal, I might be wrong since my conclusion was not derived from scientific analysis thus sikuweza kucontrol other confounders (variables) ambazo ni nyingi.
Hoja YAKO haieleweki embu iweke vyema..Tanzania tuna shida moja, hatu utilize wasomi based on walichokisomea. Leo wizara hii ina mtu ana phd ya kitu kingine kabisa. Leo tuna mkuu wa idara fulani kasomea hiki lakini anapews majuku mengine kabisa. Unadhani ata perform?
Elimu yetu watu wanasoma wapate pesa, si kuitumikia elimu. Ni wachache sana
Mkuu,Kuna Alisoma akawa anajivuna au hizi kauli munawalisha tu waliosoma nachoshangaa na wewe umesoma still unatumia hizi kauli za "anajifanya msomi"
Wewe wataje tu hao wanasiasa.Nimefanya kazi na watu watu wenye elimu (academic performance)mbalimbali na uzoefu mbalimbali (working experiences) kwenye fani mbalimbali (faculties).
Kwa sasa ninaweza kuthibisha kati ya waliofanya kazi na mimi basi wale waliokuwa na PhDs walikuwa na ufahamu na ufanisi mzuri (competency and skills) mkubwa kuliko wale wenye masters na degree moja kwa wingi wao.
Ila kilichonishangaza na kunifanya nitoke na andiko hili ni kwamba kuna PhDs nyingine zilinishtua na kunifadhaisha sana, hasa kwenye uwezo wao wa kujenga hoja za kisayansi, kumake a case, kuanalyse na kusumarize content, kunarrate na kuelezea plans na findings kisayansi kunatia mashaka
Wengi kati ya hao performers ambao hawakumeet my expectation according to their level of education wamepatia PhD zao either hapa hapa Bongo au ni zile za thesis bila kufanya comprehensive research. Kibaya nyingi ni za faster-faster kwa kutumia project research ambazo either zilifanywa na team ya wataalamu kama project , wao wakazitumia kuzishap na kuziredesign na kuandikia maandiko ya PhD
Ebu tupatie uzoefu wako ya wataalamu wetu hawa bila kutumia lugha ya kusikashfu hizi PhDs na tunajua nyingine chache hasa wa vyuo vikuu ilibidi zifutwe ?
Naomba nieleweki sina wivu na ninawapongeza kwani msoto wa PhD sio mchezo na simahanishi hakuna PhD nzuri za Bongo wala simahanishi PhD za harakaharaka za thesis-bases ni mbaya, ila kwa uzoefu wangu nimeconclude kulingana na personal observation .
Lesson learnt ni kwamba siku nikitaka kuchukua PhD basi itanibidi nijitahidi nijue niichukulie wapi na iwe ya aina gani na modality ipi?. This is my personal obervation so my conclusion, please don't take it personal, I might be wrong since my conclusion was not derived from scientific analysis thus sikuweza kucontrol other confounders (variables) ambazo ni nyingi.
PhD ndiyo inakupa uhalali wa kuwa Researcher otherwise ni Research assistant tu.Inaonekana uwezo wako wa kusoma andiko una mapungufu mengi. Kila ulichoongelea nimekitaja ila nimeconclude strength na weakness ya conclusion yangu. Ila sio mpaka uwe na PhD ndipo uwe na uwezo wa kufanya research, wengi wana publication kibao lakini hawana PhD. Na ninafikiri wewe ni mmoja kati ya waliotajwa hapo kwani umereact irrationally. Kumbuka na ninarudia tean na nimesema hii ni obsevation research mara nyingi ina strength na weakness zake. Rudia kusoma andiko vizuri limejieleza lenyewe. Paragraph ya pili imetoa general conclusion, ila kuna baadhi ya outlayers ndio niliowaongelea.Pole kama nimekukwaza
Am telling you that kwasababu hii tabia ya "Anajifanya Msomi" naona sana na important mizizi na walioshia lasagna wamekuwa wakiwaingizia hio tabia wasomi.Hoja YAKO haieleweki embu iweke vyema..
Niweke wazi ukiwa na AKILI na utamaduni wa kusaka MAARIFA Leo hii unaweza kuongoza jopo la upasuaji wa moyo na operation ikaenda powaaa..
Mkuu,
Wapo watu wanajifanya """wasomi """ utakuta mtu broken English nyingi WAKATI yupo """"mwabagalu""" broken English YAKO haisaidii kitatua kero za Wananchi..
Hujawai kuona watu ambao ELIMU zao zimefanya wajione kua wao Ni Bora kuliko wengine ama wawe wajivuni na kujiwekea mipaka na jamii zao "" superiority complex"""
Tembea ujionee dunia imebeba mengi..
NB:
KAMA ELIMU YAKO ITAKUFANYA UJIVUNE, KIBURI, DHARAU NA KUJIONA WEWE NI BORA KULIKO WATU AU JAMII YAKO BASI MAKABURI YANGEJISIFIA MAANA YAMEFUKIA MAELFU NA MAELFU YA WASOMI
Sure. we need to conduct root cause analysis to identify the gaps to address . Hatuwezi tukawa na graduates wa vyeti tu.Nadhani bongo bado hatuna uwezo wa kutoa watu wenye Master na Phd na wakatoka na vigezo vya hizo elimu.
Nafikiri suala si kumdhalau, suala la msingi ni kwamba alipotoka. Na jamii tumemjia juu kwa sababu ya usomi na level yake ya elimu, uchumi na uzoefu haikuendana na kauli aliyotamka. Laiti angetamka layman wa kawaida pasingekuwapo na backfiring voice kama zile. Kwa hiyo msomi mwenye kipato chake kizuri akichemka hatakiwi kuambiwa ukweli.Usimdharau yule Proff ww na ukoo wako hamumfikii hata punje.
Do yule ndio ilikuwa balaa. Hizo ni baadhi ya case studies chache tu...ziko kibaoUpo sahihi
Turejee yule Profesa wa vinyesi mto Mara
Nakubaliana na wewe mkuu. Well said.Hoja YAKO haieleweki embu iweke vyema..
Niweke wazi ukiwa na AKILI na utamaduni wa kusaka MAARIFA Leo hii unaweza kuongoza jopo la upasuaji wa moyo na operation ikaenda powaaa..
Mkuu,
Wapo watu wanajifanya """wasomi """ utakuta mtu broken English nyingi WAKATI yupo """"mwabagalu""" broken English YAKO haisaidii kitatua kero za Wananchi..
Hujawai kuona watu ambao ELIMU zao zimefanya wajione kua wao Ni Bora kuliko wengine ama wawe wajivuni na kujiwekea mipaka na jamii zao "" superiority complex"""
Tembea ujionee dunia imebeba mengi..
NB:
KAMA ELIMU YAKO ITAKUFANYA UJIVUNE, KIBURI, DHARAU NA KUJIONA WEWE NI BORA KULIKO WATU AU JAMII YAKO BASI MAKABURI YANGEJISIFIA MAANA YAMEFUKIA MAELFU NA MAELFU YA WASOMI
Ni vyema umeanza na mie,, ingawa hoja za mie yako hazina Uzito ,, umedhihirisha tu umuhimu wa elimu.Mnnh mie kwa bongo sionagi tofauti yoyote ya msomi na mtu asiesoma, wote level yao moja tu. Na tena ambae hajasoma anaweza kumzidi aliesoma katika kuchanganua mambo. Ni hivi baba levo au mwijaku hawana tofauti na mwigulu au nape. Waziri wa fedha anasema mambo mazuri kwa vile number za magari zinasonga ???Kweli???