Unaweza ukawa na PhD ya Bongo na Performance yako ikawa sawa au Chini ya Mtu Mwenye Degree Moja

Nadhani bongo bado hatuna uwezo wa kutoa watu wenye Master na Phd na wakatoka na vigezo vya hizo elimu.
 
Kuna Alisoma akawa anajivuna au hizi kauli munawalisha tu waliosoma nachoshangaa na wewe umesoma still unatumia hizi kauli za "anajifanya msomi"
 
Upo sahihi
Turejee yule Profesa wa vinyesi mto Mara
 
Hoja YAKO haieleweki embu iweke vyema..

Niweke wazi ukiwa na AKILI na utamaduni wa kusaka MAARIFA Leo hii unaweza kuongoza jopo la upasuaji wa moyo na operation ikaenda powaaa..
Kuna Alisoma akawa anajivuna au hizi kauli munawalisha tu waliosoma nachoshangaa na wewe umesoma still unatumia hizi kauli za "anajifanya msomi"
Mkuu,
Wapo watu wanajifanya """wasomi """ utakuta mtu broken English nyingi WAKATI yupo """"mwabagalu""" broken English YAKO haisaidii kitatua kero za Wananchi..

Hujawai kuona watu ambao ELIMU zao zimefanya wajione kua wao Ni Bora kuliko wengine ama wawe wajivuni na kujiwekea mipaka na jamii zao "" superiority complex"""

Tembea ujionee dunia imebeba mengi..

NB:
KAMA ELIMU YAKO ITAKUFANYA UJIVUNE, KIBURI, DHARAU NA KUJIONA WEWE NI BORA KULIKO WATU AU JAMII YAKO BASI MAKABURI YANGEJISIFIA MAANA YAMEFUKIA MAELFU NA MAELFU YA WASOMI
 
Wewe wataje tu hao wanasiasa.
 
PhD ndiyo inakupa uhalali wa kuwa Researcher otherwise ni Research assistant tu.
 
Am telling you that kwasababu hii tabia ya "Anajifanya Msomi" naona sana na important mizizi na walioshia lasagna wamekuwa wakiwaingizia hio tabia wasomi.

Kama mtaani kwetu unajua ile maskani atleast waliosoma wanafika watano (5) hii Maisemore na maneno ya wanajifanya wasomi kuwalenga hao jamaa watano inatokea sana kwa mada za kawaida kaqaida tu ila hao waliosoma sijawai kuona wameejita wasomi, wamejifanya wasomi, au kujiona ila hizi kauli wanabebshwa, huyu Alisoma akiwa yupo down kidogo kiuchumi "Siunajifanya umesoma" akiwa yupo hali fulani hivyo hivyo "Siunajifanya msomi"


Sasa nimeshangaa mpaka wewe ulisoma bado unakuwa na hizi act kama ninyi muliosoma munashindwa kujua hizi MOCKING ACT zidi yenu na ninyi kuji MOCK wenyewe sielewi.
 
Jamaa mbona kama unatufatilia sana, tupumzishe sisi hatutaki mambo mengi

Tutazidi kununua PHD na maisha yataendelea
 
Nadhani bongo bado hatuna uwezo wa kutoa watu wenye Master na Phd na wakatoka na vigezo vya hizo elimu.
Sure. we need to conduct root cause analysis to identify the gaps to address . Hatuwezi tukawa na graduates wa vyeti tu.
 
Usimdharau yule Proff ww na ukoo wako hamumfikii hata punje.
Nafikiri suala si kumdhalau, suala la msingi ni kwamba alipotoka. Na jamii tumemjia juu kwa sababu ya usomi na level yake ya elimu, uchumi na uzoefu haikuendana na kauli aliyotamka. Laiti angetamka layman wa kawaida pasingekuwapo na backfiring voice kama zile. Kwa hiyo msomi mwenye kipato chake kizuri akichemka hatakiwi kuambiwa ukweli.
 
Nakubaliana na wewe mkuu. Well said.
 
Ni vyema umeanza na mie,, ingawa hoja za mie yako hazina Uzito ,, umedhihirisha tu umuhimu wa elimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…