Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya mambo haya

Ni hivi ukituma maombi ya kazi hata kama mwenye ofisi anakujua usimsumbue kwa kumpigia simu kwani ukihitajika utaitwa, usilete kujuana kwenye kazi
 
Ukituma msg mambo
Poa mzima
Mzima
Niambie
Nkuambie nini wakati ni wewe umenianza...
Go straight to the point
maswali ya mapya mambo mengine ya nini wakati una smartphone ni suala la kuwasha data ucheki mapya mtandaoni
 
Ukituma msg mambo
Poa mzima
Mzima
Niambie
Nkuambie nini wakati ni wewe umenianza...
Go straight to the point
maswali ya mapya mambo mengine ya nini wakati una smartphone ni suala la kuwasha data ucheki mapya mtandaoni
Ukisema niambie na ukaambiwa utakubali utajibuje?
 
Mdada unapoitwa au kusimamishwa itika wito sio uanze kulingalinga sio Kila anayekuita au kukusimamisha anakutaka kingono wengine wanawaza maisha sio ngono kwani ngono niuchafu au kupeana mikosi
 
Ukiagiza supu hakikisha unaagiza na chapati mbili tuu ,
Ukishikwa shikamana
 
Ukienda ugenini,wakati unaondoka,wape watoto hela kama zawadi,licha tu ya wao kufurahi bali huwajengea memory nzuri kwako wakisha kua wakubwa.
kuna shangaz yangu alinipaga shillingi 2000 mwaka 2007. mpaka leo nakumbkaga.

ila ubaya wa kutoa pesa n kwamba watataka kila ukija uwape pesa.
 
Ukiishi nyumba ya kupanga hakikisha unawatafuna mabinti wa mwenye nyumba pamoja na mkewe...hii itakuongezea kitu kwenye maisha yako.
 
Ukiwa na miadi na demu hakikisha kabla ya show upige nyeto kwanza...hii itakusaidia kuongeza stamina(sio yule mwenzake na Roma)
 

Ukiazima gari la rafiki yako hakikisha umesoma gauge ya mafuta iko wapi ili ukiirudisha angalau isomeke juu ya pale ulipoikuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…