Unaweza usiambiwe, ila sio vizuri kufanya mambo haya

Ukifika kwenye ukumbi wakati wa harusi acha ku"focus" na suti ya bwana harusi wala gauni la bibi harusi, wazia chakula tu. Hii inasaidia kukuepusha na umbea usio na maana πŸ€“
wakumbushe pia wakiwa wanasema makharusi waseme kwa sauti ndogo, DJ anaweza katisha muziki muda unaosema 'Bibi kharusi mwenyewe mbaya na hata hajapendeza',
Halafu meza ya mbele wamekaa wazazi wake..!!πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…