Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu, nacho andika namaanisha ...
Na naandika kwa sababu ya uzoefu wa Maisha yangu,
Mimi huwa siandiki kwa kuwatumia WATU wengine kama mfano...mfano nimimi mwenyewe.
Wee fikiria, kwa huu Mwaka ukiisha, nitakua na watoto watano, toka kwa mama tofauti tofauti, unadhan inakua je mpaka wanakubaliana kuzaa namm??.
Hahaha ... Its about emotions !!Hiyo haiwezi kuwa na jibu la aina moja kama unavyoweza kuzani.
Wengine husababishwa na mapokeo tu , kwamba wakati anakuwa walezi/wazazi au walokuwa wanamzunguka aliwaona wakilia kwa mambo kama hayo akachukulia Ndiyo namna ya kuitikia kumbe siyo sahihi.
Tunahitaji maarifa zaidi .
Hahaha price gan? Wakat Maisha ndo nawatafutia Mimi Baba yao !!Mhm?! Watoto 5 kila mtoto na mama yake?
You shall pay the price [emoji108]
Unafahamu nimeona hata kwenye tasnia ya mahusiano na mapenzi hatujaweza kujifunza na kujua vizuri itupasavyo kuenenda kwa uzuri na usahihi.
Watu wanajichanganya mno.
Asikwambie mtu huwezi penda zaidi ya mmoja kwa dhati ya moyo.
Kuzidi mmoja na kuendekeza tamaa na kutoelewa nini maana ya penzi la kweli na dhati ya moyo.
Hahaha sina maana ya kuwaliza, watoke machozi, au niwapitishe kwenye manyanyaso noo.Unasema huwezi kuruhusu kuumizwa isipokuwa wewe ndio umekuwa wakikulilia Yani unamaana unaona fahari kuwaumiza wenzio au siyo?
Hahaha ulaji tunda kimasihara ? Visa vipo ,sema kuandika naona uvivu .Good,,, BTW Carlos, ule uzi pendwa umeususa! Sioni visa, au nyani mzee ? [emoji6]
Mkuu, Mwanamke hakupewa jukumu la kupendaPesa haikupi kupata mtu wa kukupenda Kwa kweli na dhati.
Ata pretend kana kwamba ana kupenda akuibie kiutapeli basi!
PumbafuMkuu nenda ugugo kama utayakuta ,ukiyakuta wawekee hapa Link wana nao wasome !!.
mapenzi hayajawah na hayatokaa kuniumiza kwa sababu Sijawah ruhusu Mwanamke kuniumiza kwenye mapenzi.
Yaan nikutongoze Mimi, nikutake Mimi .. Uniumize tena??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi sina maisha hayo, Mimi maisha yangu ni ya kuchagua vitu navyovitaka .
Simngekua mnaona hata nyuzi zangu ni zakulia lia.
Mimi sasa ndo wananililia kila uchwao !!!.
Hahaha price gan? Wakat Maisha ndo nawatafutia Mimi Baba yao !!
Aaahhh kupenda kwa dhati na kutulia na mwanamke mmoja ni uchaguzi .
Unajua unaweza kupenda mwanamke mmoja, lkn bado ukawa unapiga nje ???
Hainamaanishi hauna upendo kwa Mkeo !!.
Subiri niyachote haya madini nikayatumie huko tuendako kwenye uchumi wa buluuuuTuachane na mambo ya Hakimu [emoji23],, Wee ni kijana Mtanashati tu unavijisent vyako vya kawaida ,au bado hujasimama kiuchumi, upo kwenu au kwako isiwe sababu ya kukataliwa na Mwanamke unayempenda..... Kua Mtanashati ili ikupe mwonekano chanya alafu , yajue haya [emoji116]
[emoji818][emoji818][emoji818]WANAWAKE NI WATUMWA WA HISIA ZAO WENYEWE , KATIKA HABARI ZA MAPENZI, HAWAHUSISHI AKILI ZAO BALI HISIA. ( kumbuken nazungumzia Mwanamke angalau wamiaka 26 nakuendelea)
Wanaume Wengine huwa wana kosa cha Ongea wanapotaka anzisha uhusiano, na wakiwa nacho, hawajui ni Mada gani ya kuanzia !!!!
Kile unachokisema mbele ya Mwanamke kinaweza kisiwe kile anachokisikia kabisa, na hapa ndipo Tatizo na wanawake linapoanzia yaaan "Miscommunication".
Wanaume wengine hujikuta wanapishana na wanawake wanaowataka kwa sababu they have no ideas on how to communicate with Women !!.
Yaan unapopigwa Cha mbavu/Mwanamke kutokukuelewa /au mfanyakazi mwenzio hapo kazin unayemtaka lkn kila ukichombeza anakutolea nje, Sio kwa sababu Umeshindwa kumfanya akuelewe .... Ni kwa sababu Muunganiko wako Kihisia kwa huyo mwanamke ni SIFURI .
unajua nn, Wanawake hawakuumbwa Kupenda, yaan hawana control juu ya mwanaume gani wawe naye kwenye mahusiano ( Achana na mavigezo wanayoyawekaga humu kwenye manyuzi , they have nothing to do about Love ).
[emoji117]THE TRUTH IS , WITH WOMAN , EVERYTHING IS ALL ABOUT FEELINGS, ITS ALL ABOUT HOW YOU COMMUNICATE WITH HER EMOTIONALLY !!.
yan wewe lichukue hili kutoka kwangu, Mwanamke yoyote yule hapa Duniani,, HISIA ndo kila kitu kwake, yaan unachokisema, unachokitenda, KAMA HAKIMUAMSHI HISIA, HAUTAKAA KAMWE KUMPATA.,, NAHATA UKIMPATA NI KWA MUDA MCHACHE, KISHA ATAONDOKA.
Achana na maneno yao, ooohooo mie mwanaume wa hivi, ohooo mwanaume wa vile ndo Anafaa, HUO NI UONGO , Mwanamke HAPENDI LOGICALLY , yaan Mwanaume yule anayefauli kumuamsha kihisia tu atamshinda.......
( Siujiulize kwann Yule Muhuni Mvuta bangi , ana piga pisi Kali??????... Jiulize tu kwann yule muhuni anawabadilisha wanawake sana na wanamjua ni Muhuni lkn ndo kwanza Ke Wanamiminika kwa muhuni ??
Wangekua wanamkubalia mwanaume Logically, basi wangejipa sababu za kumkataa, yaan "Mwanaume mwenyewe muhuni, Malaya, mvuta bangi, Korofi"......
Wanaume wengi hujiingiza kwenye mtego wa kuongea na mwanamke Logically , yaan unampa FACTS as if unatetea lile Swali la " Kwann Waafrika walishindwa kutetea Uvamizi wa wakoloni?? Unajua Mimi nakupenda, nimekuona wee ni mtulivu , nataka nije nikuoe kama utakubali ........ ILI MWANAMKE AKUPENDE ,NI LAZIMA UJUE JINSI YA KUMUAMSHA HISIA ZAKE KUPITIA MANENO YAKO UNAYOONGEA NAYO !!..ukifail hapo tayari Ana kufanya uwe KAKA !!.
Sasa Mwanaume unawezaje jiunganisha KIHISIA na mwanamke ???
katika mazungumzo , Jitahidi sana kuepuka yale maneno ambayo ni common kwa wanaume wengi, jitahidi kutumia lugha tamu ambayo itadeal na vitu ambavyo hata yeye mwanamke havizingatii....yaan kwanza
[emoji117]Zungumza HISIA, na hisia izo zimfanye ajifeel na aone namna gani nawewe unajifeel ...
Nakupa mfano hapa wa sentensi mbili alafu zilinganishe , tuchukulie mfano, Umeingia Ofisini kwake au Nyumban kwake ....
1/ Unajua Jesca, Ukuta ukiwa na Rangi ya blue kama hivi yaan inapendeza hata kufanya kazi vizuri...
2/- Aisee Jesca nimependa sana jinsi ulivyoipakaa Rangi ya blue ,kiukweli nahisi inaelezea uzuri ulio ndani yako na mwonekano wako kiujumla.
Hizo sentensi 2 , unahisi ipi itaamsha hisia za Jesca ??? simpooo, ni hiii ya Pili !!! Kwann?? Kwa sababu haina FACTS , ni wee tu ulikua unajielezea ulivyo feel na namna gan umependa rangi ya nyumba na namna gan Rangi hiyo imeweza kumfaa Jesca .
Sasa vipo vingiii vya kuongelea, Tazama Kucha , macho, nywele, Nguo ,midomo yake, Umbo, anavyofanya kazi kwa bidii n.k n.k ( KIKUBWA UKUMBUKE, KWA MWANAMKE KINACHOAMSHA HISIA ZAKE KWANZA NI KILICHO MWILIN MWAKE, AU KILICHO CHAKE KINACHOMZUNGUKA AU ANACHOFANYA ).
[emoji117] Usiishie hapo, Once umeamsha Hisia zake , bila shaka atakua Mwenye FURAHA right????... SASA NI KOSA KUBWA SANA KUDHANI KITU PEKEE CHA KUMFANYIA MWANAMKE NI KUMPA FURAHA MUDA WOTE THIS IS A HUGE MISTAKE AMBAYO WANAUME WANAIFANYA, SIMPLY , UBONGONWA MWANAMKE UNAHITAJI HISIA ZA FURAHA NA HISIA ZA HUZUNI KWA PAMOKA ILI AWEZE KIJIUNGANISHA NAWEWE KIHISIAA YAAANBAAMINI KUA WEWE NDIO CHANZO CHA MACHOZI YAKE NA CHANZO CHA FURAHA YAKE.
( Kipindi sijalijua hili, nilikua naamini Katika kuhakikisha namfanya Manzi wangu nimtu wa FURAHA tu, lkn huwezi AMINI licha ya yote hayo ilikua ni ugonv kila kukicha, yaan visa visa Baadae nikaanza kua wa makofi , makalipio n.k, aka acha maujinga.).
Aisee, jiulizen ,ni visa vingapi humu , Jamaa wanalia liaa licha yakukiri kua waliwafanyia wanawake wao kila kitu kua na FURAHA ???
Sasa Akili ya mwanamke, haitaki kila saa ufanye yenye FURAHA, kila saa katulia tuuu muda wote ... NDIO MAANA KUNA WAKATI ANAKUCHOKOZA KWA MAKUSUDI, ILI UMGOMBEZE , UMPE KIPIGO , UMKOROMEE,, mwenzio baadae akikaa chumban ,anakuwaziaaa ,anaona unampenda, kisha atakupa PAPUCHI UJILIE, aone umemsamehe!!.
TURUDI KWA HUYU UNAYEMTAKA..... HISIA ZA HUZUNI PEKEE AMBAZO UNAZOWEZA MPA KWA HUU MUDA NI KUPITIA MANENO YAKO .
Unafanyaje hili??? Hili unalifanya kwa kuhakikisha wakati wa kuongea na mwanamke ,Unatumia maneno ambayo yanampitisha kwenye HISIA TAMU, NA HISIA ZA UCHUNGU KWA WAKATI MMOJA....... Yaan Kung'ata na kupuliza !!!
Nawapa mifano mikadhaa hapa
"[emoji117][emoji117]Jesca una akili sana mpaka unaniogopesha kwa sababu wanawake kama nyie Mnachukua muda mrefu kumkubalia MTU."...
( hapa umemsifu Ana AKILI ( hisia Tamu).... Ila anakuogopesha, Ana chukua muda mrefu ( hii ni kulazimisha akili yake ipokee hii flaw kama udhaifu wake mkubwa, nahivo kama akichelewa kufungua Moyo utamuacha Mara moja ). [emoji23][emoji23]
[emoji117][emoji117]Nakupenda japokua hauna UTU kwa wanadamu wenzio.......( hii inaonyesha ana udhaifu wakutokua na utu, lkn wewe umempenda )... Maana yake unamfanya aamini kua WEWE NDO KIMBILIO LAKE, MWANAUME ULIYEAMUA KUMPENDA NA UDHAIFU WAKE HUOHUO[emoji23][emoji23]
[emoji117][emoji117]Nafikiri Jesca wee ni Mwanamke Poa sana asokua makuu, Japokua unaonekana wakati mwingine una Ukorofi ,Mbishi "..... ..
Nihitimishe kwa mambo mawili...
[emoji818] MWANAMKE HAJALI FACTS UNAZOMPA BALI ANAHITAJI NAMNA GANI UMEMFANYA AJIFEEL .
[emoji818]MWANAMKE HUJIUNGANISHA NA MWANAUME YULE ANAYEMFANYA AJIHISI KWA WAKATI MMOJA, MWENYE FURAHA NA HUZUNI....USIWE MWENYE KUMUONYESHA UPANDE MMOJA TU WA FURAHA, WEMA .!!
😂😂😂 Ngoja na sisi tutafute pesa kwanza. Kwa tatizo ninaloliona kwangu ni poor government support and povertyMkuu ,Kwa maisha ya Mtanzania , SINA NJAA.
niliyemtongoza ni mmasai[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jesca Hahahaha ... Huyu Manzi ni Pini balaa
Mchaga mzuri mnooo .