Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?



Mhm?! Watoto 5 kila mtoto na mama yake?

You shall pay the price [emoji108]

Unafahamu nimeona hata kwenye tasnia ya mahusiano na mapenzi hatujaweza kujifunza na kujua vizuri itupasavyo kuenenda kwa uzuri na usahihi.

Watu wanajichanganya mno.

Asikwambie mtu huwezi penda zaidi ya mmoja kwa dhati ya moyo.

Kuzidi mmoja na kuendekeza tamaa na kutoelewa nini maana ya penzi la kweli na dhati ya moyo.
 
Hahaha ... Its about emotions !!

Mwanamke anachoona, anachosikia ,kwake kinatafasirika kihisia.


Na sio kwamba anaamua et, hapa kwakua niliona hivi katika malezi no...


Mwanamke anamkubalia mwanaume Kihisia.

ALAFU ANAKUKATAA KWA LOGIC, YAAN MWANAMKE KUKUKATAA, ANAKUKATAA KWA SABABU KADHAA KADHAA ANAZOKUA KAZIONA.
 
Unasema huwezi kuruhusu kuumizwa isipokuwa wewe ndio umekuwa wakikulilia Yani unamaana unaona fahari kuwaumiza wenzio au siyo?
 
Hahaha price gan? Wakat Maisha ndo nawatafutia Mimi Baba yao !!

Aaahhh kupenda kwa dhati na kutulia na mwanamke mmoja ni uchaguzi .

Unajua unaweza kupenda mwanamke mmoja, lkn bado ukawa unapiga nje ???

Hainamaanishi hauna upendo kwa Mkeo !!.
 
Unasema huwezi kuruhusu kuumizwa isipokuwa wewe ndio umekuwa wakikulilia Yani unamaana unaona fahari kuwaumiza wenzio au siyo?
Hahaha sina maana ya kuwaliza, watoke machozi, au niwapitishe kwenye manyanyaso noo.


Ulishawambia mwanamke, Tuachane ?? Alafu kwa mwezi mzima Ana kuomba msamaha tu ,Hataki umuache, Anafikia wakat anafanya jaribio la kuondoa uhai wake?? Mama yake ,Dada zake wanakutafuta umsamehe ?.


Ndo nachomaanisha..


HUPASWI KUA MUHITAJI ZAIDI KWENYE MAHUSIANO, MWANAMKE NDIO ANAYEPASWA KUA MUHITAJI ZAIDI, KWA SABABU WAO NI WENGI WAMEJAA.
 
Pesa haikupi kupata mtu wa kukupenda Kwa kweli na dhati.

Ata pretend kana kwamba ana kupenda akuibie kiutapeli basi!
 
Good,,, BTW Carlos, ule uzi pendwa umeususa! Sioni visa, au nyani mzee ? [emoji6]
Hahaha ulaji tunda kimasihara ? Visa vipo ,sema kuandika naona uvivu .


Alafu mawindo humu?? [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kama ambavyo tumeshindwa kufanya vizuri kiasi cha kuridhisha kama nchi kwenye Nyanja kama vile za kiuchumi, kisiasa n.k.

Vivyo hivyo kwenye mahusiano ya kimapenzi bado kiwango cha ufahamu juu ya mambo hayo kiko chini mno.
 
Pesa haikupi kupata mtu wa kukupenda Kwa kweli na dhati.

Ata pretend kana kwamba ana kupenda akuibie kiutapeli basi!
Mkuu, Mwanamke hakupewa jukumu la kupenda

Yaan ni wewe wakumpenda, niwewe wakumfanya atulie kwako, au niwewe pia wakumfanya ale vihela vyako asepeeee akuache unalia lia .



Mnapokosea wengi,ni wakat Mna mtongoza mwanamke

Badala ya kuhakikisha unamvuta kupitia hisia...wewe Unafanya akutafasiri pesa pesa pesa


Ofcoz, atakupiga mizinga tu kisha atasepa .
 
Watu wengi wamekuwa wakitumiwa kwenye hayo yanayozaniwa kuwa ni mapenzi badala ya kupendana Kwa kweli na dhati.

Utajuaje kama mwanamke jamaa anakutumia zaidi kuliko kukupenda kiukweli?

Hilo nalo ni Somo .

Wanawake wengi wamekuwa wakitumiwa tu na wanaume.
 
Ewe mwanamke ukiona Mwanaume anakutafuta siku akitaka mkutane akakulale na kukupa pesa hiyo ni ishara mojawapo kuwa anakutumia tu na wala hakupendi wala nini!

Uzuri wanawake wa mjini wenyewe wanasema wazi hapendwi mtu ! [emoji108]

Pesa yako tu !
 
Pumbafu
Tumeyasema wengi tu haya na bado tukala na tunakula vitasa kama kawaida. 🀣
 
Njia mojawapo ya wanawake kuepuka kutumiwa na wanaume pasipo kupenda ni kutafuta kuwa na Uhuru wa kiuchumi na fedha [emoji108][emoji108]

Bila hiyo ni rahisi sana kutumiwa sababu ya njaa na utegemezi [emoji108][emoji108]

Halafu hata akitokea Mwanaume wa kukupenda Kwa kweli na dhati iwapo hata kuwa na hela utamkataa kumbe ndie angekufaa na kukupa raha ya nafsini mwako na Furaha kama zote.

Pesa pekee haiwezi kumpa mtu raha na utulivu wa nafsi na Furaha [emoji108][emoji108]
 
Hahaha price gan? Wakat Maisha ndo nawatafutia Mimi Baba yao !!



Aaahhh kupenda kwa dhati na kutulia na mwanamke mmoja ni uchaguzi .

Unajua unaweza kupenda mwanamke mmoja, lkn bado ukawa unapiga nje ???


Hainamaanishi hauna upendo kwa Mkeo !!.


Though inategemea pia hapo,

Huwa inatokea mtu sijui ni kukosea kuoa au kuolewa!

Kuna watu wake zao au waume zao hawana hisia kabisa miongoni mwao !

Ni mtihani inapokuwa hivyo

Unakuta kuna Mwanamke au Mwanaume wa nje ambaye ndio wanakuwa na hisia na Pendo la dhati na kweli pasipo uchawi wala uganga [emoji108][emoji108]

Lakini kuthibitisha hilo ni mpaka kuwepo na other facts.

Matharani je mchepuko mwanamke ako na financial independence au ni tegemezi kwa huyo Mwanaume?

Je mchepuko mwanamke ana utulivu wa asili au kicheche?

N.k

Kuna facts za ku test kwanza zikithibitika ndipo unaweza kusema hapo sana chemistry is bonded and perfect among the two.
 
Wengi Wana hela Ila mapenzi yanawagalagaza tu mapenzi si pesa tu mtoa mada ana point muhimu Sana tu we bishana ukikuwa utajua!
 
Subiri niyachote haya madini nikayatumie huko tuendako kwenye uchumi wa buluuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…