Unawezaje kuepuka kukataliwa na Mwanamke umpendaye kupitia hisia zake?

Jesca wanakuaga ni warembo haswaa ila ni pasua kichwa kwelikweli.
Kikubwa hapo ni uzingatie hii nukuu

"Sasa Akili ya mwanamke, haitaki kila saa ufanye yenye FURAHA, kila saa katulia tuuu muda wote ... NDIO MAANA KUNA WAKATI ANAKUCHOKOZA KWA MAKUSUDI, ILI UMGOMBEZE , UMPE KIPIGO , UMKOROMEE,, mwenzio baadae akikaa chumban ,anakuwaziaaa ,anaona unampenda, kisha atakupa PAPUCHI UJILIE, aone umemsamehe!!."
 
Jesca nimeamua kumpotezea kabisa
 
Labda wanawake wale wa kutoka kule kanda maalum pande za Mkoa wa Mara?!

Hivi kuna mwanamke anaependa kupigwa kweli?
 
Labda wanawake wale wa kutoka kule kanda maalum pande za Mkoa wa Mara?!

Hivi kuna mwanamke anaependa kupigwa kweli?
Kipigo kinachozungumziwa hapa sio kile cha kutoana manundu, hapa vinazungumziwa vile vikofi viwili vitatu vya kuboost kinga ya mwili.
 
Binadamu wamekuwa wabishi sana....

Ila kila mmoja kwa wakati wake ataelewa ulichosema na usitegemee wale Malava boi,, wazee wa Bebi I laviyu wataelewa huu uzi... Wataona kama unataka kupeperusha vipepeo wao...

But kuna point ya msingi sana umeongea...

Kama mwanaume unapambana na hutaki kuja kulialia na mapenzi basi zingatia uzi huu..
 
Mimi ni mwanamke na ulichoandika hapa ni ukweli 100%. Mwanaume asipo nitreat kama ulivyoelezea hapo, Mimi huwa simtaki kabisa. Mwanaume unapaswa kuwa msweet na pia principled na mwenye authority. I can stand proudly and introduce you to my people.
 
Ahsante, Ushuhuda wako ,utatia uzito kwa hawa wanaojiita Baby baby Baby !!.
 
Kipigo kinachozungumziwa hapa sio kile cha kutoana manundu, hapa vinazungumziwa vile vikofi viwili vitatu vya kuboost kinga ya mwili.
Haswaa unaboost kinga yake,ajue yeye ni Mwanamke, nawewe ndio mwanaume wake uliye naye mamlaka, KIONGOZI wake, na mmiliki wake.

Hata kama hujamuoa.
 
Hata Hao wenye Uchumi wanaombaa balaaa... Yani hakuna mwanamke asieomba pesa aisee afu wengine wanafanya kama ni sehemu ya maisha yako kumpa helaaa ukimwambia ujee nikulee urodaa sababu haziishi..!! Ukishindwa kujiongezaa utaliwaa weee mpaka ukomee..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…