Unawezaje kuishi na mwanamke anayejamba jamba ovyo?

Punguza kumlisha maharage broo
 
Inaweza kuwa tatizo la kuzaliwa au malezi.

Kuna watu wanakuwa hivyo na kuna wengine wanakuwa hivyo kulingana na vyakula wanavyoula. Wengine ni malezi niliishi kwa muda mfupi mkoa fulani ilikuwa ni kawaida kwa mtu mzima kwenye watu wengi au kwenye gari kujamba na watu wakaa kimya
Jenhiyo tabia ameanza muda KABLa hamjaoana au baada ya kuoana?
 
Mmekutana pipa na mfuniko wake
 
Jina lako haliendani na ubwabwaji huu.

Zingatia sana wahenga waliposema haya:

1. Habari za nyumbani simfunulie jirani.
2. Nguo chafu husafishwa uani.


Kwani ukumbuke kuwa " Kuchamba kwingi, kuondoka na mavi. "
 
Anywe maji mengi ameze dawa za kutoa gas akapimwe vidonda vya tumbo
 
Nipe namba yake. Mbona mie tunajamba yaani Ile freely bila kuwaza kuwa unamkera mwenzako.
Jaribu kumlisha chakula natural achana na hizi from shops. Ale swaumu na maji kitunguu kibichi utakuja kuniambia.mwambie atafune raw ginger na anywe mtindi wa asili pia na bamia mbichi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…