Amuhudumie wakati hawajaoanaKunawatu wana changamoto hiyo nikutie moyo mpenzi japo wengine huwa wana fanya hivo sabbu wana backup zao
Anakuhudumia?
Alishaichapa vya kutosha au bado?Tukiwa tuandelea kujiandaa na tarehe 9 kuelekea uhuru wa Tanganyika nimeona nilete swali kama hoja pamoja na maswahibu yangu
Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano jf
Nipo na huyu Kijana mwezi wa pili sasa lakini Naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda..
Huyu jamaa angu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele.. anaweza kujitahidi siku mbili mkawasiliana vizuri hizo siku zinazobaki sasa utasema ana mashetani.. halafu hayuko romantic yaani yeye hata kuita majina ya kimahaba hola naitwaga (mamtu) sawa haina tatizo maana nishazoea
Ila hii tabia yake ya kuwa kimya bila sababu ya msingi inaniumiza.. kuna kipindi ilipita siku 2 hatuwasiliani nikamtafuta kwa kutuma na kupiga simu hakunijibu.. na mimi nikakausha akaja kunitafuta tena yeye..
Sasa mimi inaniumiza nawaza au kwasababu jobless maana maandamano yamefanya nipoteze kazi nipo home tu labda ningekuwa na kazi ningekuwa bize.. maana unakuta unatamani kuongea na mpenzi wako ila haoneshi ule utayari ama ushirikiano inanifanya nakata tamaa
Ningeweza kumuacha lakini nimeona nijaribu kumvumilia mwisho wa siku naweza kujikuta nabadilisha mahusiano kila wakati.. ni kijana mwenzangu kanizidi mwaka 1 26/27
Nimeona naweza kutengeneza nae maisha maana wote ni vijana ila sijajua kwa upande wake kama ananihitaji
Naombeni njia za namna ya kuishi na mwanaume wa namna hiyo.. ambae anaweza kukunyamazia tu bila sababu..
Na kama hanifai pia mnaweza mkanambia
Mwambie tu kiumri hawaendani,kesha kuwa mshangazi,kijana wenzake ni wa kuanzia miaka 19Mzani wa penzi haujabalance 😅, Kaa kijanja
wengine material things yaan anakuhudumia ial mzito wa mawasilianoAmuhudumie wakati hawajaoana
Tatizo ndo lipo hapo kwa umri, siyo size yako, rika lako wewe ni kaka yake mkubwa au babaake.ni kijana mwenzangu kanizidi mwaka 1 26/27
Huduma ndio inapaswa iwe tiketi ya mateso? Ahudumiwe yeye mlemavu?Kunawatu wana changamoto hiyo nikutie moyo mpenzi japo wengine huwa wana fanya hivo sabbu wana backup zao
Anakuhudumia?
Tuna miezi 2 hivyo sijawahi kumuomba hela.. maana kwenye kuonana alinitumia nauli na muda wa kuondika alinikatia tiketi na poket money ya kutosha ambayo still bado ninayo.. hivyo kama nitaishiwa kabisa ndio nitamuombaKunawatu wana changamoto hiyo nikutie moyo mpenzi japo wengine huwa wana fanya hivo sabbu wana backup zao
Anakuhudumia?
Hilo muhimu mkuuushauri wangu, Fanya yooote ila USIBEBE MIMBA, utalia kuliko Ambulance
Najua lakini sometimes nahisi kama dharauYupo bize sana kutafuta hela.
Tukiwa tuandelea kujiandaa na tarehe 9 kuelekea uhuru wa Tanganyika nimeona nilete swali kama hoja pamoja na maswahibu yangu
Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano jf
Nipo na huyu Kijana mwezi wa pili sasa lakini Naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda..
Huyu jamaa angu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele.. anaweza kujitahidi siku mbili mkawasiliana vizuri hizo siku zinazobaki sasa utasema ana mashetani.. halafu hayuko romantic yaani yeye hata kuita majina ya kimahaba hola naitwaga (mamtu) sawa haina tatizo maana nishazoea
Ila hii tabia yake ya kuwa kimya bila sababu ya msingi inaniumiza.. kuna kipindi ilipita siku 2 hatuwasiliani nikamtafuta kwa kutuma na kupiga simu hakunijibu.. na mimi nikakausha akaja kunitafuta tena yeye..
Sasa mimi inaniumiza nawaza au kwasababu jobless maana maandamano yamefanya nipoteze kazi nipo home tu labda ningekuwa na kazi ningekuwa bize.. maana unakuta unatamani kuongea na mpenzi wako ila haoneshi ule utayari ama ushirikiano inanifanya nakata tamaa
Ningeweza kumuacha lakini nimeona nijaribu kumvumilia mwisho wa siku naweza kujikuta nabadilisha mahusiano kila wakati.. ni kijana mwenzangu kanizidi mwaka 1 26/27
Nimeona naweza kutengeneza nae maisha maana wote ni vijana ila sijajua kwa upande wake kama ananihitaji
Naombeni njia za namna ya kuishi na mwanaume wa namna hiyo.. ambae anaweza kukunyamazia tu bila sababu..
Na kama hanifai pia mnaweza mkanambia
Naona mapenzi hayajali financially stable wala poor wote ikifika muda wa kuteseka tunateswa mkuuAchana na mahusiano, jijenge kiuchumi, ukiwa stable financially vidume vitapigana vikumbo kukugombania ! Kwani kisipotumika kinaziba ? Refer Darwin's theory