Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Nasikitika kuona mtu anapata stress na mtu ambaye sio mume/mke waje. Ukiingia kwenye ndoa wewe si utajinyonga?

Fornula ni simple tu ...usijipendekeze kwa mtu ambaye hajipendekezi kwako
Rahisi kashauri dear ila sasa kwenye kutendea kazi
 
Mbususu huwa anaichakata mara ngapi kwa wiki? Kuna mbususu zinakinaisha hatari yaani unaona mwenye nayo kama kenge tu ukisikia sauti yake unakereka. Ila upwiru ukikukamata tena ndo unamtafuta ili uipige tena...and the cycle continues. Hapo hakuna future ila bond yenu inakuwa kwenye kutombana tu basi.

Pia umri wenu siyo rafiki sana. Tafuta mtu anayekuzidi angalau miaka mitano hivi. Huyo wa sasa hata mkija kuoana watoto watatu mbele we ushaanza kuchoka mwenzio ndo kwanza anakwenda kwenye prime. Ni nadra sana kukuta wapenzi wenye umri sawa wakatoboa. Halafu kwenye umri huo mwanaume ndiyo kwanza anajitafuta na ni vigumu sana kukuta ame-settle na kuamua kuwa na mwanamke mmoja.

Kazi unayo tena pevu!
Kutokana na maandamano kuonana imekuwa ngumu kutokana na kazi zake ila tulishaonana before maandamano na kwa vile penzi jipya

Kwa upande wa umri mimi pia nilikuwa naamini hivyo hata na kigezo cha kumkubali mwanaume lazima anizidi Miaka zaidi ya 5 ila nilichoambulia ni utapeli mtupu.. na sijawahi kudate age mate kwa mara ya kwanza nikasema nijaribu

Sometimes we vibe sometimes hole ni kama mood swings hivi
 
Kadogo2,

Nilijua ninayeteseka na mapenzi ni mimi peke yangu kumbe tupo wengi. Nashukuru nimesoma thread yako na kujua kuwa kumbe maisha yanahitaji uvumilivu na kuwa na subraa.

Anyway mimi niliamua kukaa kando na kuyapa kisogo mahusiano lakini kupitia andiko lako nimeona kama ikiwa upendo ni mateso, basi mateso haya ni bora niteseke nawe mwenzangu ambaye ipo siku utatambua kuwa mimi ni mfungwa wa mapenzi yako milele, katika himaya yako ya upendo wa kweli na ipo siku utakuja kutoa USHUHUDA kuwa Mungu alikuumba kwa makusudi ili uje kugusa moyo wangu kwa namna ambayo hakuna mwingine amewahi kufanya.

Nakukaribisha kwa mikono miwili tuungane pamoja na tuweze kujenga furaha ya kudumu baina yetu .
I promise an endless love to you!
Hahaha mkuu jaribu kwingine Mimi sijihusishi na watu wa jf…
 
Hapo najua lazima Kuna mambo kutoka upande wako hujayasema maana ni kasumba kubwa kwa wanawake kukataa kuwajibika kwa mapungufu yenu

Usikute unapiga mizinga mno mpaka anaona anachunwa (hulka ya kususia wanaume matatizo na mahitaji yenu punde tu mkiona Kuna dalili ya Mahusiano)

Pia Kuna sampuli ya wanaume kama sisi ambao kusema kweli sio romantic na ikitokea mwanamke anakua ana uhitaji mkubwa sana wa kihisia kama wewe tunaanza kuona kero (mwenzako kajifunza kunichukilia kama nilivyo)
 
Hapo najua lazima Kuna mambo kutoka upande wako hujayasema maana ni kasumba kubwa kwa wanawake kukataa kuwajibika kwa mapungufu yenu

Usikute unapiga mizinga mno mpaka anaona anachunwa (hulka ya kususia wanaume matatizo na mahitaji yenu punde tu mkiona Kuna dalili ya Mahusiano)

Pia Kuna sampuli ya wanaume kama sisi ambao kusema kweli sio romantic na ikitokea mwanamke anakua ana uhitaji mkubwa sana wa kihisia kama wewe tunaanza kuona kero (mwenzako kajifunza kunichukilia kama nilivyo)
Hilo la hela liondoe maana still mapenzi machanga.. sijawah kumuomba hela

Hilo lingine uniambie na wewe ndio ulivyo mawasiliano ni changamoto kwako huwezi kuwasiliana mara kwa mara.. unakaa siku 2 bila kuwasiliana na ukimtafuta huna excuses yoyote

I tried to copy but kuna muda inakata unajihisi hupendwi haswa mtu akikubluetick na ana view status .. unatuma sms ya mahaba jitu halikujibu inakeraa
 
Tukiwa tuandelea kujiandaa na tarehe 9 kuelekea uhuru wa Tanganyika nimeona nilete swali kama hoja pamoja na maswahibu yangu

Nafikiri mwaka ukiisha mnipe tuzo ya watesekaji bora wa mahusiano jf

Nipo na huyu Kijana mwezi wa pili sasa lakini Naona kama mapichapicha japo since tunaanza niliona ni mtu wa hivyo ila nikasema nimpe muda..

Huyu jamaa angu kwenye upande wa mawasiliano ni kipengele.. anaweza kujitahidi siku mbili mkawasiliana vizuri hizo siku zinazobaki sasa utasema ana mashetani.. halafu hayuko romantic yaani yeye hata kuita majina ya kimahaba hola naitwaga (mamtu) sawa haina tatizo maana nishazoea

Ila hii tabia yake ya kuwa kimya bila sababu ya msingi inaniumiza.. kuna kipindi ilipita siku 2 hatuwasiliani nikamtafuta kwa kutuma na kupiga simu hakunijibu.. na mimi nikakausha akaja kunitafuta tena yeye..

Sasa mimi inaniumiza nawaza au kwasababu jobless maana maandamano yamefanya nipoteze kazi nipo home tu labda ningekuwa na kazi ningekuwa bize.. maana unakuta unatamani kuongea na mpenzi wako ila haoneshi ule utayari ama ushirikiano inanifanya nakata tamaa

Ningeweza kumuacha lakini nimeona nijaribu kumvumilia mwisho wa siku naweza kujikuta nabadilisha mahusiano kila wakati.. ni kijana mwenzangu kanizidi mwaka 1 26/27
Nimeona naweza kutengeneza nae maisha maana wote ni vijana ila sijajua kwa upande wake kama ananihitaji

Naombeni njia za namna ya kuishi na mwanaume wa namna hiyo.. ambae anaweza kukunyamazia tu bila sababu..
Na kama hanifai pia mnaweza mkanambia
Wewe dada mbona kila siku wewe unakutana na wanume waajabu ajabu kama akina Rayns daah kwanini iwe wewe tu muda woooote yaaani muda wooote ni wewe tu khaaa

Au unatuletea chai hapa kila siku wewe ni kulalamika kila mwanaume unayepata khaaaa na hapa wanakushauri achana nae

Mimi nachoka mimi mtoto wa Clemence Mwandambo
 
Kunawatu wana changamoto hiyo nikutie moyo mpenzi japo wengine huwa wana fanya hivo sabbu wana backup zao
Anakuhudumia?
Hudumaaaa????????😂😂😂🙌🙌

Za wapi? Where? Why? How? Anyways Aaliyyah wewe,

iko hivi huyu yeye hajawahi pata mwanaume mzuri kwake yaani kila mwezi anakuja kulalamikaaa kwamba mwanaume wake hivi vileee ila kadogo2 nikushauri kitu TU, tafuta mwanaume ambaye hana mambo mengi wala usichague chague mabishoooo ndo maana unaumia😯
 
#Fact

Hahah 26 kweli ameshakuwa mshangazi, hapo utakuta ameshaanza kumpa shinikizo kijana kuhusu mambo ya ndoa
Hapo kwenye shinikizo la ndoa ndio chanzo cha binti kununiwa sasa...
Kijana ndio kwanza anaanza barehe ya matumizi ya pesa kwenye starehe, hatakiwi kubanwa banwa
 
Asante.. ni mara ya 3 napitia mahusiano ya hivyo mpk kuna mtu alinambia yaani ananiona mimi ni nice woman nitateseka sana kwenye mapenzi nikashindwa kuelewa
Pole tena.
Mara nyingi maumivu hayazoeleki inaweza kufika hata mara 10 na bado ukawa unaumia vile vile!
Suluhisho ni kupuuzia maana maisha ni bora kuliko mapenzi.
 
Wewe dada mbona kila siku wewe unakutana na wanume waajabu ajabu kama akina Rayns daah kwanini iwe wewe tu muda woooote yaaani muda wooote ni wewe tu khaaa

Au unatuletea chai hapa kila siku wewe ni kulalamika kila mwanaume unayepata khaaaa na hapa wanakushauri achana nae

Mimi nachoka mimi mtoto wa Clemence Mwandambo
Nimeambiwa mimi nice woman ndio mama nateswa wanaume mnapenda kashikashi
 
Hudumaaaa????????😂😂😂🙌🙌

Za wapi? Where? Why? How? Anyways Aaliyyah wewe,

iko hivi huyu yeye hajawahi pata mwanaume mzuri kwake yaani kila mwezi anakuja kulalamikaaa kwamba mwanaume wake hivi vileee ila kadogo2 nikushauri kitu TU, tafuta mwanaume ambaye hana mambo mengi wala usichague chague mabishoooo ndo maana unaumia😯
Yaani safari Hii sijachagua maana mimi huwa sipendii age mate ila huyu wa sasa ni age mate halafu sasa sura personal yaani kanyata kanyata tena.. katika mahusiano yangu yote huyu ndio mwanaume ambae hata rafiki yangu akiniomba picha siwezi kumtumia.. na wala sio bishoo ni mkimya sana halafu bhangosha sasa sijui tatizo nini
 
Tuna miezi 2 hivyo sijawahi kumuomba hela.. maana kwenye kuonana alinitumia nauli na muda wa kuondika alinikatia tiketi na poket money ya kutosha ambayo still bado ninayo.. hivyo kama nitaishiwa kabisa ndio nitamuomba
Hahahaha baasi hajaridhika na wewe tafuta mwengine binti huyo si fungu lako
 
Back
Top Bottom