- Thread starter
- #101
Au Kabila maana ni ngoshaKulingana na mimi kuwa first born au last born, hakuna uhusiano na jinsi utakavyobehave katika mahusiano, labda malezi ua mtu anapotokea ndio inaweza kuchangia. MALEZI na sio nafasi ya kuzaliwa.
Au Kabila maana ni ngoshaKulingana na mimi kuwa first born au last born, hakuna uhusiano na jinsi utakavyobehave katika mahusiano, labda malezi ua mtu anapotokea ndio inaweza kuchangia. MALEZI na sio nafasi ya kuzaliwa.
Eti Niko vere hapi ......🐍🐍🐍Upo kwenye mahusiano pekeako,
Yeye hayupo kwenye mahusiano
My dear usiogope kubadili mahusiano had utakapo kutana na the right one.......
Hakikisha huteseki, haya maisha ni mafupi mnooo kaa mbali na wote wanaokukosesha furaha
Me sina mahusiano, na aliyekua boyfriend wangu amefunga ndoa juzi jumamosi
Na niko happyyyy verrrry happy
9 December
Mmh Ngoja nimpe muda nisifanye harakaUpo kwenye mahusiano pekeako,
Yeye hayupo kwenye mahusiano
My dear usiogope kubadili mahusiano had utakapo kutana na the right one.......
Hakikisha huteseki, haya maisha ni mafupi mnooo kaa mbali na wote wanaokukosesha furaha
Me sina mahusiano, na aliyekua boyfriend wangu amefunga ndoa juzi jumamosi
Na niko happyyyy verrrry happy
9 December
😂😂Wewe toka saa tano asubuhi mimi SIJAMTAFUTA TOKA MWEZI mzima ndo kanitafuta majuzi usiku ndo kuchati weeeh lakini baada ya hapo kimya mpaka LeoHivi tumechart saa5 mpk sasa hajanitafuta na hapo bila kumuanza anaweza potezea mpk kesho anaanza kuniforwadia reels za Instagram 😅
Hili neno lilikuja kama utani.. tulikuwa tunawajadili wanaoitana hivyo kwa hivyo ndio imekuwa kama sehemu ya utani.. japo Kuna jina la Utani ambalo tunaitana siwezi kuliweka hapa nitafungua code mkuuMamtu shtuka..
Hao ndio mabingwa wa Romantic..wanajua kila kitu Mamtu.
Ukiona huchatishwi na anayekuita Mamtu ujue umeisha muda.
Ni mahusiano hayo au.. na huyo mwanamke mnapendana kweli au mbapotezeana muda😂😂Wewe toka saa tano asubuhi mimi SIJAMTAFUTA TOKA MWEZI mzima ndo kanitafuta majuzi usiku ndo kuchati weeeh lakini baada ya hapo kimya mpaka Leo
Kabila sio kigezo cha kutotimiza majukumu yako kama mwanaume.Au Kabila maana ni ngosha
Kabila sio kigezo cha kutotimiza majukumu yake kama mwanaume.Au Kabila maana ni ngosha
Basi tuseme ndivyo alivyoKabila sio kigezo cha kutotimiza majukumu yake kama mwanaume.
Wewe wasema!Basi tuseme ndivyo alivyo
😂😂Ila wanaume wanajua kutuendesha aiseeHudumaaaa????????😂😂😂🙌🙌
Za wapi? Where? Why? How? Anyways Aaliyyah wewe,
iko hivi huyu yeye hajawahi pata mwanaume mzuri kwake yaani kila mwezi anakuja kulalamikaaa kwamba mwanaume wake hivi vileee ila kadogo2 nikushauri kitu TU, tafuta mwanaume ambaye hana mambo mengi wala usichague chague mabishoooo ndo maana unaumia😯
Endelea kuvumilia kipenz huenda akabadilika mapenzi nayo kuna mda hayashauriki 😀Tuna miezi 2 hivyo sijawahi kumuomba hela.. maana kwenye kuonana alinitumia nauli na muda wa kuondika alinikatia tiketi na poket money ya kutosha ambayo still bado ninayo.. hivyo kama nitaishiwa kabisa ndio nitamuomba
Nimezungumza hivo ili kutofautisha tabia za watuHuduma ndio inapaswa iwe tiketi ya mateso? Ahudumiwe yeye mlemavu?
Hilo ninalo, kama sikosei kwa lugha ya kitaalam inaitwa avoidant attachment personality; yaani tunapenda kujitosheleza kihisia maana Kuna hofu ya kuumizwa tukijiachia kimapenziHilo lingine uniambie na wewe ndio ulivyo mawasiliano ni changamoto kwako huwezi kuwasiliana mara kwa mara.. unakaa siku 2 bila kuwasiliana na ukimtafuta huna excuses yoyote
😂😂😂😂Dai Katiba Mpya ya ndoa yenu
Britanicca
Swali la msingi anahudumiwa??Kunawatu wana changamoto hiyo nikutie moyo mpenzi japo wengine huwa wana fanya hivo sabbu wana backup zao
Anakuhudumia?