Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Alishaichapa vya kutosha au bado?
 
Bila Shaka huyo mpenzi wako hayuko peke yake coz na Mimi Nipo hivyo.

Kuna uwezekano huyo jamaa amekuchoka na huenda pia ana mwanamke mwingine huko nje anayempa kichwa.
Kawaida mwanaume anayekupenda kwa dhati kamwe haezi Kupa wakati mgumu.

Hiyo ni red flag hatari Sana na ukiipuza utakuja kulia.Act as soon as possible
 
Achana na mahusiano, jijenge kiuchumi, ukiwa stable financially vidume vitapigana vikumbo kukugombania ! Kwani kisipotumika kinaziba ? Refer Darwin's theory
 
Unaishi wapi mrembo, tupeane mawasiliano kama hutojari. Natafuta mawasiliano serious
 
Kunawatu wana changamoto hiyo nikutie moyo mpenzi japo wengine huwa wana fanya hivo sabbu wana backup zao
Anakuhudumia?
Tuna miezi 2 hivyo sijawahi kumuomba hela.. maana kwenye kuonana alinitumia nauli na muda wa kuondika alinikatia tiketi na poket money ya kutosha ambayo still bado ninayo.. hivyo kama nitaishiwa kabisa ndio nitamuomba
 

Hukutaki, na hakupendi, na atakuacha.
 
Achana na mahusiano, jijenge kiuchumi, ukiwa stable financially vidume vitapigana vikumbo kukugombania ! Kwani kisipotumika kinaziba ? Refer Darwin's theory
Naona mapenzi hayajali financially stable wala poor wote ikifika muda wa kuteseka tunateswa mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…