Unawezaje kuishi na mwanaume ambaye anakunyamazia bila sababu?

Sina la kusema kwakweli.. Nasoma comment
 
Tatizo ndo lipo hapo kwa umri, siyo size yako, rika lako wewe ni kaka yake mkubwa.

Pili, kazi ya mawasiliano inafanywa na mwanaume mwanzoni wakati wa kutongoza. Akisha chakata mbususu hilo jukumu linahamia kwako (mwanamke)
Nishajaribu kaka yake nao ndio walewale nikasema nimkubali age mate but nae mateso

Mimi sina shida hata kila siku nikimtafuta mimi nachotaka ni ushirikiano kama nakutafuta basi onesha una thamini .. sio napiga simu hupokei umekuta nimepiga haunicheck unakaa siku 2 ndio unanicheck na unaongea as if nothing wrong.. hiyo ndio kitu inanikwaza
 
Mwambie tu kiumri hawaendani,kesha kuwa mshangazi,kijana wenzake ni wa kuanzia miaka 19
Atafute mwanaume mwenye umri kuanzia miaka 32 na kuendelea
Nishawajaribu hao sana.. wengi unakuta wana mahusiano yao serious tena hata wanaishi na wanawake ama waneshazaa .. nikasema niwe na kijana mwenzangu walau tunaweza kuanza pamoja
 
Duuh miezi 2 tu kashanichoka..
 
🤣🤣🤣Tunataka sababu kubwa kubwa hiyo sababu haitoshi🐾🐾 kama ni mbaya sana achana nae
mkuu unaniacha dilemma hapo umemaanisha nimuache kama ni mbaya wa sura ama
 
Pole sana huwa yanaumiza sana ila yatapita tu.
Asante.. ni mara ya 3 napitia mahusiano ya hivyo mpk kuna mtu alinambia yaani ananiona mimi ni nice woman nitateseka sana kwenye mapenzi nikashindwa kuelewa
 
Nasikitika kuona mtu anapata stress na mtu ambaye sio mume/mke waje. Ukiingia kwenye ndoa wewe si utajinyonga?

Fornula ni simple tu ...usijipendekeze kwa mtu ambaye hajipendekezi kwako
 
Duuh miezi 2 tu kashanichoka..
Mbususu huwa anaichakata mara ngapi kwa wiki? Kuna mbususu zinakinaisha hatari yaani unaona mwenye nayo kama kenge tu ukisikia sauti yake unakereka. Ila upwiru ukikukamata tena ndo unamtafuta ili uipige tena...and the cycle continues. Hapo hakuna future ila bond yenu inakuwa kwenye kutombana tu basi.

Pia umri wenu siyo rafiki sana. Tafuta mtu anayekuzidi angalau miaka mitano hivi. Huyo wa sasa hata mkija kuoana watoto watatu mbele we ushaanza kuchoka mwenzio ndo kwanza anakwenda kwenye prime. Ni nadra sana kukuta wapenzi wenye umri sawa wakatoboa. Halafu kwenye umri huo mwanaume ndiyo kwanza anajitafuta na ni vigumu sana kukuta ame-settle na kuamua kuwa na mwanamke mmoja.

Kazi unayo tena pevu!
 
Kadogo2,

Nilijua ninayeteseka na mapenzi ni mimi peke yangu kumbe tupo wengi. Nashukuru nimesoma thread yako na kujua kuwa kumbe maisha yanahitaji uvumilivu na kuwa na subraa.

Anyway mimi niliamua kukaa kando na kuyapa kisogo mahusiano lakini kupitia andiko lako nimeona kama ikiwa upendo ni mateso, basi mateso haya ni bora niteseke nawe mwenzangu ambaye ipo siku utatambua kuwa mimi ni mfungwa wa mapenzi yako milele, katika himaya yako ya upendo wa kweli na ipo siku utakuja kutoa USHUHUDA kuwa Mungu alikuumba kwa makusudi ili uje kugusa moyo wangu kwa namna ambayo hakuna mwingine amewahi kufanya.

Nakukaribisha kwa mikono miwili tuungane pamoja na tuweze kujenga furaha ya kudumu baina yetu .
I promise an endless love to you!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…