Unawezaje kujisaidia haja kubwa na kujisafisha bila sabuni?

nusuhela

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2014
Posts
5,915
Reaction score
7,210
Hivi unaanzaje kujisaidia haja kubwa alafu unatawaza bila sabuni,?
Hakika huwezi kata harufu kama utatumia maji na toilet paper tu.

Nimejizoesha kujisaidia haja kubwa kipindi ninapooga ila kuepukana na adha ya harufu mbaya.
 
Kuna watu humu jf mie nachekagaaa tu! Wengine hutaka kuonekana wao ni exceptional! Lkn hola !

Nani alikuambia kujisaidia lazima usafishe na sabuni! ? Unless hunywi maji wala hupati matunda ya kutosha mwilimi mwako ikiwa nipamoja na mbogamboga za majani!

Pata hvyo vitu hakika mavi utakayokunya hayatakuwa na harufu hyo ya kuosha kila wakati kinyeo kwa sabuni.

Kuna watu wanakunya n'nya inanuka haswaaa,,,na ww nimoja wao ndo maana unaweza bana mavi hadi muda wa kuoga hujui unajitafutia magonjwa yaliyo na gharama kubwa katika kuyatibu.

Nyaaa maliza ,jitawaze narudia jitawaze kwa maji safi na mengi ya kutosha. Kisha jifute vzuri kwa kitu kisafi na kikavu.

Kamwe hutosikia harufu ya namna hyo.

Anza sasa, anza leo kisha leta mrejesho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€aisee
 
Nakushauri acha huo mchezo mkuu. Unaharibu normal flora. Utapata fangasi sugu na warts zisizoisha. We unadhani usafi na kwmaba tutakusifia kumbe unaharibu. Dont try this again
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…