Mis powers
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 2,737
- 3,534
Unakunya kitu gan hicho hadi unawe na sabuni, ptuuuu choo chako kitakuwa kinanuka sana[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni bora huyu kuliko wewe unaedhani eti kutunza uchafu tumboni kwa muda mrefu ni sifa. Matokeo yake unasababisha bacterial infection tu.Wabongo mnakunya sana. Utakuta mtu anakunya mara 4 kwa siku..
😂 😂 😂 😂 😂 😂
Jitahid kunywa maji kwa wingi na Matunda kama utarudia kutoa huu ushauriHata mi huwa nashangaa kwakweli, eti mtu anapupu kazini toi kuna maji tu bila sabuni.
Au mtu anapupu safarini mmh hapana asee hapana
Kwa wewe mtoto wa kike ni halali upitishe soap.
Ila kidume kujichezea huko na ma sabuni ni ku hatarisha usalama wa "rinda"
Ajiukize taulo linachafukaje..!?Chief mkwidu haujawahi kuwa msafi hata ungetawazia Jiki. Niamini mimi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila baadhi wanaume mnapenda sana kuhalalisha uchafu kwa sababu zisizo na mashiko
Sasa ukinawa na sabuni unatoaje marinda, aunajichezeaje? Labda kama umedhamiria kujichezea na kujitoa hayo marinda.
Mnapenda uchafu sasa mtu uwe na minywele, umepupu hujasafisha na sabuni boxa urudie ptyuuuuuuuuu kinyaa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kwamba kuna watu wanatawazia jiki humu?
Haa ha mzee una balaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ukifikia stage ya kupaka Mkoonduw vaseline kila baada ya kutawaza uje uandikie na uzi wake!
We si msafi bana.
Jamaa msafi banaHaa ha mzee una balaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]