Unawezaje kujisaidia haja kubwa na kujisafisha bila sabuni?

Aahaaa! JF raha sana!!!! sabuni kabisaa shweee! hapo lazima nyaa iwe na Utelezi km umepasuliwa mayai! But kule Bondeni wote hawajui habari za maji na kopo! ni mwendo wa Toilet paper tuu! utake usitake!

Mleta mada ni msafi mpaka amepitiliza, ananyoosha mpaka sox.
 
Siku ukiikosa sabuni, ndiyo mnaanzaga kuchora ukutani! any way iwe siri yako, usiseme tena kuna watu humu wanakudodosa kujua ulipo, ili mradi utawaraisishia kufanya yao! jua sabuni ni mbadala wa KY jelly?
 
Tatizo kuna nyie mkiingia choonii mnaacha harufu kali kama mmekula mashudu ya kuku..!!
 
Wengine mkinya mavi yananuka sana lazima muoshe kwa deto au omo.

Mimavi inanuka kama mzoga wa fisi. Duuhh, kuna watu wanakunya aisee!
 
Hata mi huwa nashangaa kwakweli, eti mtu anapupu kazini toi kuna maji tu bila sabuni.
Au mtu anapupu safarini mmh hapana asee hapana
Jitahid kunywa maji kwa wingi na Matunda kama utarudia kutoa huu ushauri
 

[emoji23]nimecheka sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…