fanya mazoezi ya viungo vya mwili bara-bara gentleman 🐒Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,
Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia
Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani
Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa
Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Acha kazi umfuate mumeo.Mwezi wa 4 huu, hizi kazi hizi ..
Mume wangu nammiss jamani
😭
Nipo njiani hapa nataka nipate ili nitue kwa bed
Umemiss HOGO lake?Mwezi wa 4 huu, hizi kazi hizi ..
Mume wangu nammiss jamani
😭
Nipo njiani kwenda kwake, hapa nataka nipae ili nitue kwa bed
Gentleman,fanya mazoezi ya viungo vya mwili bara-bara gentleman 🐒
Kwani ukijisikia hamu ya kufanya mapenzi halafu usifanye kwani mwili utapasuka?Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,
Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia
Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani
Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa
Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
😂😂😂😂Muulize Lucas Mwashambwa akupe mbinu za KUJIMALIZA kwa mlenda.
Kwa kitaalamu inaitwa KUJIFOKOA / mlendalization.
Luca amebobea kwenye masuala ya JANDO, mcheki.
Cc: Lamomy Extrovert Tlaatlaah
unafika tu unalifuma na limshangazi utafanya nini..?Mwezi wa 4 huu, hizi kazi hizi ..
Mume wangu nammiss jamani
😭
Nipo njiani kwenda kwake, hapa nataka nipae ili nitue kwa bed
Unakuwaje jasiri wa kuwaza mapenzi ilihali kiuhalisia wewe ni Apeche Alolo "pangu pakavu kiuchumi"?Wakuu,
Mimi siwezi kukaa ndani ya siku saba na nisifanye mapenzi, hali hii huwa inanishinda,
Mimi ni mtu wa mazoezi,mchezaji wa mpira mtaani kwetu,na napenda sana kusikiliza muziki,kurelax na marafiki,lakini punde tu nikiachana nao basi tayari hamu ya kusex inanijia
Sijaoa ila hali hii ikinijia huwa naenda kwa madada poa namaliza hamu zangu na kurudi nyumbani
Licha ya hivyo,hali hii huwa siifurahii na huwa nataka sana niiache lakini huwa nashindwa
Wakuu,nifanye nini niondokane na hali hii?
Shindwaa pepo, unawaza mabayaunafika tu unalifuma na limshangazi utafanya nini..?
Mindset na mazingira, ukiweza control hayo, unaeeza usi notice hata kama umekaa muda mrefuWakuu,